Kuripoti utapeli Halotel

Kuripoti utapeli Halotel

Hao matapeli wanaumiza sana watu
Jana nimekutana na mzee mmoja mstaafu wamempiga laki 8 yake, akapiga kuwaomba wamrudishie ana shida nayo sana.
Wakajibu eti atume na laki moja ndio watamrudishia hiyo 8k!

Nilijiskia vibaya namna mzee yule alipokuwa analalamika.. Najua hamtoamini
Nilimkabidhi yule mzee 8k.!
 
Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na njia rahisi ili kuripoti utapeli.
Piga *148*90# kisha chagua lugha.

Baada ya lugha chagua tena njia moja wapo

Baada ya hapo ingiza namba ya tapeli
Mfano 062xxxxxxx kisha tuma.
Yaani umripoti Tapeli kwa Makao Makuu ya Matapeli au? Sijui kwanini Watanzania ni wazito sana Kugundua jambo au hata tu Kulitathmini kwa upana wake.
 
Mimi nahisi wanashirikiana na matapeli maana nikipokea tu hela ndio wananipigia
Hujajuaga siku unapokea hela ndio ndugu na jamaa wanakupiga mizinga.pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nb. Sio mwisho.wa.mwezi
 
Hao matapeli wanaumiza sana watu
Jana nimekutana na mzee mmoja mstaafu wamempiga laki 8 yake, akapiga kuwaomba wamrudishie ana shida nayo sana.
Wakajibu eti atume na laki moja ndio watamrudishia hiyo 8k!

Nilijiskia vibaya namna mzee yule alipokuwa analalamika.. Najua hamtoamini
Nilimkabidhi yule mzee 8k.!
Dah kweli mkuu hapo ulipo malizia ndo penye ukakasi
 
Yaani umripoti Tapeli kwa Makao Makuu ya Matapeli au? Sijui kwanini Watanzania ni wazito sana Kugundua jambo au hata tu Kulitathmini kwa upana wake.
Kumbe tena ipo hivyo
 
Hao matapeli wanaumiza sana watu
Jana nimekutana na mzee mmoja mstaafu wamempiga laki 8 yake, akapiga kuwaomba wamrudishie ana shida nayo sana.
Wakajibu eti atume na laki moja ndio watamrudishia hiyo 8k!

Nilijiskia vibaya namna mzee yule alipokuwa analalamika.. Najua hamtoamini
Nilimkabidhi yule mzee 8k.!
Duu mkuu noma Sana 🙌😲
 
Back
Top Bottom