๐๐๐ Hii ni kweli kabisa sikupingi hata chembe.Tunaporithishana majina huwa tunarithishana vingine vingi vinavyoambatana na mwenye jina linalorithiwa. Inachanganya sana, hii iko vipi wataalam wa mambo? lakini nimeshuhudia koo nyingi zinafana kizazi kimoja kwenda kingine. Mtazamo wangu majina tunayorithi huwa yanaambatana na tabia, hali aliyokuwa nayo mmiliki wa awali wa jina. Ndio maana koo tajiri zimeendelea kuwa tajiri na masikini zimeendelea kuwa masikini.
Inategemea jina limerithiwa kutoka kwa nani kama sio la kurithi hao Wana maisha yao binafsi.Hapo ligi kuu uingereza Kuna wachezaji wanaitwa
Cash,stones, drinking water, etc
Vip hapo unazungumziaje
NB:hao wanacheza timu kubwa na wanapesa
Utarithi tabia zake za kulalamika kama demu๐Aloo naitwa mo dewj kuanzia leo.