Kurudi CCM kwa Peter Msigwa ni kuandaa njia kwa mwenyewe ajae atakayejiunga soon?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039



Ukimchunguza Peter Msigwa, kidhabu na muongo wa mwaka, durusu hata marafiki na wandani wake ambao bado wako Chadema.

Ukishawajua, jiulize, je Msigwa, swahiba wa Jiwe, alikwenda kuandaa njia kwa ajili yao kurudi nyumbani?

Je ni mpango wa muda mrefu wa kuiua CHADEMA? Kumbuka, Nyerere aliwahi kuisifia CHADEMA.

Je watu wa namna hii ni wa kuaminiwa au kushabikia?

Tudurusu na kutafakari pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…