Kurudi Clouds Fm; Masudi Kipanya ajigamba, ni pesa tu!

Kiukweli hakuna kitu kilichowafrustrate Clouds media kama kuondoka kwa Gerald Hando. Yule jamaa ni kichwa sana nje ya utangazaji.

Ruge alifanya kosa sana kumwachia. Sasa clouds ina struggle sana kujiimalisha maana ata waliorudi bado hawajakata kiu ya waskilizaji.

Kiufupi Gadna na Kipanya wamekuta generation yao imeacha kusikiliza radio ni kama wanaanza upya kuendana na hii era.

yah.. hando ana uelewa mkubwa sana wa mambo tofauti na watangangazaji wengi pale.. ndio maana hata interview kubwa kubwa alikua anapewa yeye licha ya kwamba alikuwa power breakfast.. hata anapouliza maswali anauliza anauliza maswali ya msingi sana tena baada ya kufanya utafiti.. watu walikua hawamuelewi tu sababau ya mzaha wake lkn jamaa ni kichwa sana kuondoka pale ni big loss kwa clouds!
 
Nimesikitika sana kuondoka kwa Gerald Hando. Jamaa anajua sana kutangaza. Power breakfast aliiwezea sana, zaidi zaidi yupo vizuri kichwani, anajua kuhoji kwa weledi na kuchambua mambo vizuri sana, kujenga hoja...nk, nk.

Sidhani kama Kipanya ataweza kuvaa viatu vya Hando.

Fredwaa nae ndio hata sielewi anachofanya pale.

Kiukweli wasingeruhusu kuondoka kwa Hando jamaa anajua vitu vingi sana yule!
 
Watanzania bwana, wakati Gerald Hando na PJ bado wapo, watu humu humu mlikiwa mnadai wale wapayukaji hawana lolote wanaongea bila kusikilizani na mambo mengi, huku mkidai bora enzi za akina Masoud Kipanya.
Sasa bwana Ruge kawaondoa kawaletea akina masoud, mnaanza kusema akina Gerald Hando walikuwa wanajua akina Masoud wanapwaya.
Aisee ni ngumu kuwaelewa wa Tanzania wenzangu wanataka nini unless uwe kichaa.
 
Lady jay dee na msemo wake "Huu mchezo hauhitaji hasira" Una maana kubwa sanaa! Kama yeye kweli ndiyo mmiliki wa E fm! Hakika ataimaliza clouds fm
 
Watanzania tulivyo kama sigara kali hatueleweki walivyokuwa clouds mliponda wee sasa hivi wameondoka mnasema clouds inaanza kushuka na ndio maana hata wanasiasa wanatuchezea kwa sababu sisi wenyewe hatujielewi
 
Watanzania bwana, wakati Gerald Hando na PJ bado wapo, watu humu humu mlikiwa mnadai wale wapayukaji hawana lolote wanaongea bila kusikilizani na mambo mengi, huku mkidai bora enzi za akina Masoud Kipanya.
Sasa bwana Ruge kawaondoa kawaletea akina masoud, mnaanza kusema akina Gerald Hando walikuwa wanajua akina Masoud wanapwaya.
Aisee ni ngumu kuwaelewa wa Tanzania wenzangu wanataka nini unless uwe kichaa.

Pitia Utafiti wa Nottingham University ,hutahangaika tena
 
Nimesikitika sana kuondoka kwa Gerald Hando. Jamaa anajua sana kutangaza. Power breakfast aliiwezea sana, zaidi zaidi yupo vizuri kichwani, anajua kuhoji kwa weledi na kuchambua mambo vizuri sana, kujenga hoja...nk, nk.

Sidhani kama Kipanya ataweza kuvaa viatu vya Hando.

Fredwaa nae ndio hata sielewi anachofanya pale.
Kwa bahati mbaya unaonekana huijui Power Breakfast, ngoja nikupe uzoefu kabla Hando hajawa huyu unayemjua wewe KP ndio alikuwa master plan wa PB baada ya Kipanya kuondoka yeye na Fina ndipo wakaamua kumtafuta Mtangazaji wa kike atakeyeshika nafasi ya Fina sasa kama ulikuwa unasikiliza PB kipindi kile utagundua Hando alikuwa anafanya Copy za KP kila kitu na Barbara ndio alikuwa Fina kila kitu. Sasa ukisema KP hujui kama atavaa viatu vya Hando basi unamkosea heshima KP kwasababau na wale wasikilizaji wa ukweli wa PB ndio wanarudi sasa.
 
Mkuu hakuna kitu muhimu kama generation, generation yako ikipita utaangaika sana na haitosaidia.

Masudi na Gadna ni wale wale, vipaji ni vile vile. Tatizo kizazi chao ambacho walikuwa nacho wakati wapo hot akisikilizi tena radio.

Gerald ana advantage sababu yupo hot kwenye wasikiliza radio wa kipindi hiki.
 
Nimesikitika sana kuondoka kwa Gerald Hando. Jamaa anajua sana kutangaza. Power breakfast aliiwezea sana, zaidi zaidi yupo vizuri kichwani, anajua kuhoji kwa weledi na kuchambua mambo vizuri sana, kujenga hoja...nk, nk.

Sidhani kama Kipanya ataweza kuvaa viatu vya Hando.

Fredwaa nae ndio hata sielewi anachofanya pale.
Fredwa alitamba wakati yupo RFA, sasa kashajipoteza na hawezi kurudi tena kwenye kiwango kile.
 
Nilikuwa sijui kama kumbe na Wewe una sura za Vijana wa Dar es Salaam! Hata Mimi nimeona sasa si vyema kutumia picha za Watu na nimeamua kuitumia hiyo hapo ambapo ndiyo Mimi mwenyewe hutaki shauri yako.
Mimi ni wa dar es salaam hasa.nilizaliwa muhimbili hospital miaka kadhaa iliyopita,nikakulia magomeni,ilala,kinondoni na mwananyamala.
na sasa naishi kwenye kakibanda kangu huku kimara bonyokwa.

Hongera kwa kutumia avatar yenye sura yako halisi.
 
Hiyo yote washukuliwe washindani wa hiyo redio kwani ndipo hapo thamani ya kina Kipanya ilipoonekana.

Masoud Kipanya Na Gadnar wana takiwa washukuru sana ujio wa E FM kwani ndio iliyo pandisha thamani zao

Hii ndo yale yale ya Magufuli kumshkuru Lowassa.....I never understand this logic..................anyways, labda ni hizi bangi nnazovuta
 
Unashindweje kuelewa kitu kidogo kama hiki au ndio unataka tuamini tunachowaza kwamba wewe kichwa cha panzi.
Hii ndo yale yale ya Magufuli kumshkuru Lowassa.....I never understand this logic..................anyways, labda ni hizi bangi nnazovuta
 
Mimi ni wa dar es salaam hasa.nilizaliwa muhimbili hospital miaka kadhaa iliyopita,nikakulia magomeni,ilala,kinondoni na mwananyamala.
na sasa naishi kwenye kakibanda kangu huku kimara bonyokwa.

Hongera kwa kutumia avatar yenye sura yako halisi.

Acha kujisifia we popoma wa hudhurungi
 
Uwe ni wa kizazi cha Mkapa, JK au JPM, ukimsikiliza Kipanya lazima utampenda tu! Wapo wanaozungumzia generation! Kipanya aliondoka Clouds ama 2008 au 2009 mwanzoni! Mtu ambae alikuwa 25 years 2008 leo hajafikisha hata 35! Huwezi kuniambia those at mid 30's kushuka chini hawasikilizi redio na ukiangalia mpangilio wa Power Breakfast, sio kipindi cha watoto wa shule kile; sawa na Jahazi na ndio maana hata Watangazaji wanaowekwa ni wale ambao ni matured enough! Sasa kuna kundi kubwa la watu ambalo liliwa-miss akina Masoud!

And remember, hao 30's ndio wenye influence kwenye kampuni mbalimbali! Hapa nazungumzia issue za matangazo! Na hapa hatuzungumzii yale matangazo ambayo piga ua, haya yapo tu kv ya kampuni za simu!

Kwahiyo unapowarudishia vipenzi vyao ni kama unatengeneza bridge.
 
Nimesikitika sana kuondoka kwa Gerald Hando. Jamaa anajua sana kutangaza. Power breakfast aliiwezea sana, zaidi zaidi yupo vizuri kichwani, anajua kuhoji kwa weledi na kuchambua mambo vizuri sana, kujenga hoja...nk, nk.

Sidhani kama Kipanya ataweza kuvaa viatu vya Hando.

Fredwaa nae ndio hata sielewi anachofanya pale.
Sijui walichokwazana na Hando lakini hakuna ubishi Clouds wamepoteza pakubwa....hata wakijitutumua vipi sioni ni kwa vipi wanasawazisha hilo pengo.

Kipanya hawezi viatu vya Hando....Fredwaa nadhani walimleta kwa ajili ya ushereheshaji tu.....hivyo hatutarajii maajabu yoyote kutoka kwake.
 
Back
Top Bottom