majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
- Thread starter
- #21
mkeo anakosa amani kwa mambo mengine sio ilo, mkague mtoto kafanana na wewe? Isije ikawa umeveshwa na huko kupenda kwako
sina shaka na mke wangu hata kidogo, nampenda sana na ninazidi kumwomba mungu aendelee kuwa na upendo wa dhati kwangu.