M majeshi 1981 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2013 Posts 2,090 Reaction score 812 Dec 19, 2014 Thread starter #21 katibua said: mkeo anakosa amani kwa mambo mengine sio ilo, mkague mtoto kafanana na wewe? Isije ikawa umeveshwa na huko kupenda kwako Click to expand... sina shaka na mke wangu hata kidogo, nampenda sana na ninazidi kumwomba mungu aendelee kuwa na upendo wa dhati kwangu.
katibua said: mkeo anakosa amani kwa mambo mengine sio ilo, mkague mtoto kafanana na wewe? Isije ikawa umeveshwa na huko kupenda kwako Click to expand... sina shaka na mke wangu hata kidogo, nampenda sana na ninazidi kumwomba mungu aendelee kuwa na upendo wa dhati kwangu.