Ukiskia Argentina inatajwa unafurahi kweli...team ishakuwa dis-organized sasa hivi,team ina mastaa kibao lakini inashina kwa tabu au kupoteza match kijinga..Yaani kati ya team ambozo nilitegemea ziwe za kwanza kufuzu,mojawapo ni argentina,lakini cha ajabu ndio kwanza ina stragle kufuzu..Wasipoangalia wataleta aubu kama ile ya 2010 SA,Tusitetee ujinga.Well said
Ukiskia Argentina inatajwa unafurahi kweli...team ishakuwa dis-organized sasa hivi,team ina mastaa kibao lakini inashina kwa tabu au kupoteza match kijinga..Yaani kati ya team ambozo nilitegemea ziwe za kwanza kufuzu,mojawapo ni argentina,lakini cha ajabu ndio kwanza ina stragle kufuzu..Wasipoangalia wataleta aubu kama ile ya 2010 SA,Tusitetee ujinga.
unaangalia msimamo lakini?cha ajabu kwenye kombe la dunia watazingua tu, kama argentine atafuzu ana nafasi kubwa ya kuwa bingwa kuliko brazil