Kurudi kwa Brazili kwenye ramani ua soka

Well said
Ukiskia Argentina inatajwa unafurahi kweli...team ishakuwa dis-organized sasa hivi,team ina mastaa kibao lakini inashina kwa tabu au kupoteza match kijinga..Yaani kati ya team ambozo nilitegemea ziwe za kwanza kufuzu,mojawapo ni argentina,lakini cha ajabu ndio kwanza ina stragle kufuzu..Wasipoangalia wataleta aubu kama ile ya 2010 SA,Tusitetee ujinga.
 
Mkuu punguza hasira,,,mimi huwa nakuangalia tu unatoa povu lakini natulia kimyaa,nakupiga like siku zinaenda, huwa sipendi kukosana na mtu.so hapa kila mmoja anashabikia anachopenda yeye, kama wewe ni brazil sawaa hakuna matata endelea tu kushabikia hakuna anayekupigia kelele.ila waache na wengine wawe huru kushabikia wanachotaka,,,, mbona mleta uzi kafanya uungwana kaamua kutulia,,, twendelee kushabikia pasipo kupigizana kelele mkuu.
 
Back
Top Bottom