Kurudi kwa Brazili kwenye ramani ua soka

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,537
Reaction score
8,824
Kwa sasa kiwango cha Brazili kiko juu kabisa na wiki ijayo Brazili itaongoza kwenye viwango vya FIFA vua Ubora na kuishusha Agentina.
Brazil wameishinda mechi 8 mfululizo za kuwania kufuzu kombe la Dunia kule Urusi
Viwango vitakavyo tanagazwa wiki ijayo Brazili atashika usukani na hii anaweza asishuke hadi michuano ianze kule Urusi.
 
Mpira hauna mwenyewe siku hizi na licha ya "kurudi" ktk the so called ubora wao, kipigo walichopewa nyumbani kwao na ujerumani hakisahauliki.
 
Siyo ianze tu Kamanda...mpaka iishe...wana vijana wenye uchu wa mafanikio
 
Mpira hauna mwenyewe siku hizi na licha ya "kurudi" ktk the so called ubora wao, kipigo walichopewa nyumbani kwao na ujerumani hakisahauliki.
Kufungwa ni kawaida.kiwango.walicho nacho kwa sasa si cha kawaida na kumbuka kwa sasa wameisha fuzu tiyari wana uhakila wa kwenda Moscow
 
NILIWAONA WALIVOIFUNGA GOLI 4 KWA 1 URUGUAY, MECHI ILIPIGWA MONTEVIDEO, BRAZIL WANAVIJANA WAZURI SANA NA NILIMPENDA YULE JAMAA ALIYEPIGA HAT TRICK,WAKIJITUMA ZAIDI MADOGO WANAUJUA
 
Jamaa kwa sasa.wanacheza kitimu sana na wanajituma sana
 
Ile soka ya mbwembwe na chenga za kufa mtu siku hizi haipo asee.

Naona wameiga mpira wa ulaya, wa kupiga pasi nyingi, kufukuza mpira na kucheza kitimu badala ya kuonyesha uwezo binafsi.
 
cha ajabu kwenye kombe la dunia watazingua tu, kama argentine atafuzu ana nafasi kubwa ya kuwa bingwa kuliko brazil
 
Kiukweli mimi nwenyewe naona hii ni Brazil bora kabisa, ikikomaa vizuri inaweza kuwa kama ile ya 1998, 2002 & 2006.
 
2006 haikuwa bora sana mkuu japo ilikuwa na mastaa amabao ndo umri ulikuwa umewatupa mkono. Iliishia robot final kwa kufungwa na France iliyokuwa chovu mwanzoni lakini ilikuwa inagain kadri ilivyokuwa inasonga.
 
Ile Brazil ya 98 sio mchezo,nakumbuka game yake ya Nusu fainali vs Netherlands,nadhani hii ya sasa inaweza kurudisha heshima ya Brazili, tatizo Brazil ya hivi karibuni ilikuwa dominated na soka la Ulaya na kusahau asili ya mpira wao (Samba),kuanzia makocha hadi wachezaji.

Kumbuka baada ya 98 wachezaji wengi walipata soko Ulaya na kufungua milango ya wachezaji wengi kutoka brazili kuhamia Ulaya.
 
Dah ile mechi wewe acha tu pale ndo soka ilikuwa inapigwa wakati huo De Lima akiwa kwenye kiwango ambacho hakijawahi tokea katika ulimwengu wa soko
 
Kwa maoni yangu it is to early kuhitimisha wamerudi pamoja na kuwa matokeo ya mechi zao za hivi karibuni yamekuwa mazuri.
 
Ni kweli, madogo kama kina countinho, filmino, jesus, paulinho wataendelea kuwa na kiwango kizuri, huenda tukatengeneza timu nzuri, kwa kawaida tokea 2003. Mwaka mmoja au miwili kabla ya kombe la dunia tunakua na timu nzuri sana. Tukifika world cup sijui tunaharibikiwa na nini. Ndiyo maana ukiangalia tuna record ya kuchukua kombe la mabara, ambalo linachezwa before world cup. Tukifika tunajikuta tunaharibu.
Kwa sasa madogo wako sawa sana, ni muda wa kuondoa utabaka katika kuchukua wachezaji wao ili watufute machungu mashabiki wa brasil, hakuna kitu nnachotamani kama kumtoa france kwenye world cup
 
Mkubwa unaandika Kiswahili kizuri kama m'bongo vile!!?.
 
Back
Top Bottom