PreGE2025 Kurudi kwa Dk. Wilibrod Slaa CHADEMA kunaashiria nini katika Siasa za Upinzani Tanzania?

PreGE2025 Kurudi kwa Dk. Wilibrod Slaa CHADEMA kunaashiria nini katika Siasa za Upinzani Tanzania?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama Makala kaanza kuongea ujinga hata kabla ya uzinduzi wa No Reform No Election..... ikifika July, CCM watakuwa na hali gani? Team ya Maza, Tyson, Nchimbi na Makala ni too weak kupambana na team Lissu, Heche, Lema na Silaa. Hapo ni lazima backup ya dola itumike. Chadema shikilieni hapo hapo. Dawa taratibu inawaingia.

Na ile nyomi ya Mbeya...Lazima wapanic.
hakuna wa kushindana na ccm hapo wote wa mama tu hao
 
Hakuna la maana litakalobadilika. Ni kama kuwekwa kwa Wasira unaibu mwenyekiti CCM.

Once a sellout always a sellout.

Slaa will bask on his former glory alipokuwa Slaa kweli but that is all there is to it.

Ni takriban miaka 15 toka Slaa alipokuwa na relevance kwa vijana, ila wale waliomjua Slaa kisiasa kwa sasa si vijana tena na pengine kumbukumbu waliyo nayo ya Slaa ni yule aliehongwa ubalozi na Magufuli.

Wale vijana wa sasa hawamjui Slaa, wanamuona ni kibabu tu kilichojiunga tena CHADEMA.

Lissu awe makini sana na wale anaowakaribisha. Asije akarudia makosa ya Mbowe aliyofanya kwa Lowassa, Sumaye na Nyalandu.

Kwa sasa Slaa amekuwa kama Raila Odinga alivyo kwa wakenya, no one takes them seriously anymore.
Kwa huu ujio wa Slaa huenda ukawa na negative impact au the other way. Ikumbukwe huyu babu, alikimbia Chadema katikati ya vita na kuwapa Ccm nafasi ya ushindi, mwisho alipewa zawadi ya ubalozi.
Sasa ana rudi tena Chadema kwamba anaomba asamehewe, huenda karudi kwa mikakati mipya kuelekea uchaguzi ujao.. Ina hitaji kuwa makini sana na huyu babu..
 
Kama Makala kaanza kuongea ujinga hata kabla ya uzinduzi wa No Reform No Election..... ikifika July, CCM watakuwa na hali gani? Team ya Maza, Tyson, Nchimbi na Makala ni too weak kupambana na team Lissu, Heche, Lema na Silaa. Hapo ni lazima backup ya dola itumike. Chadema shikilieni hapo hapo. Dawa taratibu inawaingia.

Na ile nyomi ya Mbeya...Lazima wapanic.
Back up nayo inaweza ikasema siku moja Enough is Enough 😳 ! ( ??! )
🤣😀😅

Ngoja Tusubiri tuone !
 
hawawezi kuwa CCM maana hawajasombwa na magari
 
Slaa yupo Chadema tangu ana nguvu na akili na hawajahi shinda leo akizungumza kipaza chote kinadondoka mate atasaidia nini kwenye siasa za nchi hii zenye mfumo wa siwezi kushinda juani au kuvunjwa mguu nikawacha kutafutia kula ya watoto!
Bora umesema kweli, kuwa ccm haishindi kwa siasa za hoja, bali za mabavu.
 
Kama Makala kaanza kuongea ujinga hata kabla ya uzinduzi wa No Reform No Election..... ikifika July, CCM watakuwa na hali gani? Team ya Maza, Tyson, Nchimbi na Makala ni too weak kupambana na team Lissu, Heche, Lema na Silaa. Hapo ni lazima backup ya dola itumike. Chadema shikilieni hapo hapo. Dawa taratibu inawaingia.

Na ile nyomi ya Mbeya...Lazima wapanic.
Kwamba ni no reforms no election
 
Ta
Kwa huu ujio wa Slaa huenda ukawa na negative impact au the other way. Ikumbukwe huyu babu, alikimbia Chadema katikati ya vita na kuwapa Ccm nafasi ya ushindi, mwisho alipewa zawadi ya ubalozi.
Sasa ana rudi tena Chadema kwamba anaomba asamehewe, huenda karudi kwa mikakati mipya kuelekea uchaguzi ujao.. Ina hitaji kuwa makini sana na huyu babu..
Tatizo letu wengi tunajiaminisha Siasa na tofauti za kisiasa ni Uadui !
Lakini Ukweli ni kwamba Siasa haitakiwi kuchukulia kama ni Uadui !

Zama zimebadilika zamani mchezaji wa Simba hawezi kucheza Yanga na wa Yanga hawezi kucheza Simba mpaka anakufa 😳 !

Lakini kwa sasa Utamaduni huo umekwisha kabisa ! Na kwenye Siasa ni vivyo hivyo !
 
I can't wait kumuona Dr. Slaa akiwa ndani ya Gwanda again, baada ya miaka kadhaa✌️
 
 
... Lissu awe makini sana na wale anaowakaribisha. Asije akarudia makosa ya Mbowe aliyofanya kwa Lowassa, Sumaye na Nyalandu.
Kumbe na wewe ulichukia makosa ya Mbowe kumleta Lowasa. Tofauti yako wewe ulikubali CCM kutuletea mgombea Urais, SLaa akakataa.
 
Back
Top Bottom