hakuna wa kushindana na ccm hapo wote wa mama tu haoKama Makala kaanza kuongea ujinga hata kabla ya uzinduzi wa No Reform No Election..... ikifika July, CCM watakuwa na hali gani? Team ya Maza, Tyson, Nchimbi na Makala ni too weak kupambana na team Lissu, Heche, Lema na Silaa. Hapo ni lazima backup ya dola itumike. Chadema shikilieni hapo hapo. Dawa taratibu inawaingia.
Na ile nyomi ya Mbeya...Lazima wapanic.
hakuna wa kushindana na ccm hapo wote wa mama tu hao
Kwa huu ujio wa Slaa huenda ukawa na negative impact au the other way. Ikumbukwe huyu babu, alikimbia Chadema katikati ya vita na kuwapa Ccm nafasi ya ushindi, mwisho alipewa zawadi ya ubalozi.Hakuna la maana litakalobadilika. Ni kama kuwekwa kwa Wasira unaibu mwenyekiti CCM.
Once a sellout always a sellout.
Slaa will bask on his former glory alipokuwa Slaa kweli but that is all there is to it.
Ni takriban miaka 15 toka Slaa alipokuwa na relevance kwa vijana, ila wale waliomjua Slaa kisiasa kwa sasa si vijana tena na pengine kumbukumbu waliyo nayo ya Slaa ni yule aliehongwa ubalozi na Magufuli.
Wale vijana wa sasa hawamjui Slaa, wanamuona ni kibabu tu kilichojiunga tena CHADEMA.
Lissu awe makini sana na wale anaowakaribisha. Asije akarudia makosa ya Mbowe aliyofanya kwa Lowassa, Sumaye na Nyalandu.
Kwa sasa Slaa amekuwa kama Raila Odinga alivyo kwa wakenya, no one takes them seriously anymore.
Back up nayo inaweza ikasema siku moja Enough is Enough 😳 ! ( ??! )Kama Makala kaanza kuongea ujinga hata kabla ya uzinduzi wa No Reform No Election..... ikifika July, CCM watakuwa na hali gani? Team ya Maza, Tyson, Nchimbi na Makala ni too weak kupambana na team Lissu, Heche, Lema na Silaa. Hapo ni lazima backup ya dola itumike. Chadema shikilieni hapo hapo. Dawa taratibu inawaingia.
Na ile nyomi ya Mbeya...Lazima wapanic.
kwahiyo mama hawezi kushindanahakuna wa kushindana na ccm hapo wote wa mama tu hao
Bora umesema kweli, kuwa ccm haishindi kwa siasa za hoja, bali za mabavu.Slaa yupo Chadema tangu ana nguvu na akili na hawajahi shinda leo akizungumza kipaza chote kinadondoka mate atasaidia nini kwenye siasa za nchi hii zenye mfumo wa siwezi kushinda juani au kuvunjwa mguu nikawacha kutafutia kula ya watoto!
Back up nayo inaweza ikasema siku moja Enough is Enough 😳 ! ( ??! )
🤣😀😅
Ngoja Tusubiri tuone !
Kwamba ni no reforms no electionKama Makala kaanza kuongea ujinga hata kabla ya uzinduzi wa No Reform No Election..... ikifika July, CCM watakuwa na hali gani? Team ya Maza, Tyson, Nchimbi na Makala ni too weak kupambana na team Lissu, Heche, Lema na Silaa. Hapo ni lazima backup ya dola itumike. Chadema shikilieni hapo hapo. Dawa taratibu inawaingia.
Na ile nyomi ya Mbeya...Lazima wapanic.
Tatizo letu wengi tunajiaminisha Siasa na tofauti za kisiasa ni Uadui !Kwa huu ujio wa Slaa huenda ukawa na negative impact au the other way. Ikumbukwe huyu babu, alikimbia Chadema katikati ya vita na kuwapa Ccm nafasi ya ushindi, mwisho alipewa zawadi ya ubalozi.
Sasa ana rudi tena Chadema kwamba anaomba asamehewe, huenda karudi kwa mikakati mipya kuelekea uchaguzi ujao.. Ina hitaji kuwa makini sana na huyu babu..
Kumbe na wewe ulichukia makosa ya Mbowe kumleta Lowasa. Tofauti yako wewe ulikubali CCM kutuletea mgombea Urais, SLaa akakataa.... Lissu awe makini sana na wale anaowakaribisha. Asije akarudia makosa ya Mbowe aliyofanya kwa Lowassa, Sumaye na Nyalandu.