Kurudi kwa UDA (daladala) hii maana yake nini?

SEASON 5

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
481
Reaction score
1,008
Haya mabasi/daladala za UDA yalianza onekana kwa wingi sana kipindi cha uongozi wa Awamu ya 4 ila baada ya kuingia awamu ya 5 hizi daladala zilipotea zote moja baada ya nyingine na mwisho hatukuziona tena barabarani.

Tangu msiba uishe wa Aliyekuwa Rais awamu ya 5 Rais Magufuli UDA zimeanza kurudi barabarani, nimeshashuhudia UDA 3 mpya ruti ya MBEZI - MBAGALA/3, MBEZI-BUGURUNI, MBEZI-TEMEKE nk

Swali langu ni la mshangao, imekuaje tena haya magari kurudi wakati huuu? Yalikua wapi? Boss wake ni nani? Kwanini alikuwa hayarudishi barabarani kipindi cha uhai wa Magufuli na kwanini kayarudisha sasa hivi?

"Watanzania sisi sio wajinga, Tunaona"

Nimalizie kwa kusema "Anaye stream youtube sasa hivi ni kidume", Ukimuona mtu yuko Online Muheshimu, Ma group yangu sioni cha admin wala member anatuma tuma vi meme leo ni kimyaaaaaa, WAZIRI WA NCHI MWANACHAMA WA DATA amejua kututembelea huu mwaka, halafu ndio kwanza April 2..
 
Mkuu UDA ni nini? Labda kwanza tuanzie hapo.... Ili twende sambamba...
 
na kwa kurudi kwa UDA ndio JIPU litaendelea kukwiva maana naona kabisa namna ambavyo UDA wataanzisha ruti za K.koo - Mbezi na hakuna trafik ataeuliza wala kuzikamata hizo dala dala,hatima ya MWENDOKASI siijui ni ipi kwakweli
mwendokasi haiwezi kuathirika na UDA mkuu kumbuka hata huo mradi wa mwendokasi aliunzisha JK ambaye fufunu ndo zinadai UDA ina mkono wake
 
Tangu tarehe 17 hata nikinywa konyagi kavu haiunguzi matumbo tena kama zamani[emoji848][emoji3]
hahahahah mkuu acha kabisa , walahi pesa tutaipata na tutazitumia kipindi hiki
 
mwendokasi haiwezi kuathirika na UDA mkuu kumbuka hata huo mradi wa mwendokasi aliunzisha JK ambaye fufunu ndo zinadai UDA ina mkono wake
Mwendokasi ina pata faida sasa kwasababu ya "marufuku" ya magari ya kawaida kwenda Kariakoo to Mbezi ila Uda Ikianzisha ruti za K.koo to Mbezi Mwendokasi wameumia.
 
M
Maana yake Riziwqni is back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…