Kurudi kwa UDA (daladala) hii maana yake nini?

Kurudi kwa UDA (daladala) hii maana yake nini?

Bi Mkubwa kama namsoma vile halafu simsomi[emoji848][emoji848][emoji848]
ha ha ha ha yani Bi mkubwa kuna wakati mshale unasoma kweli halafu kuna wakati saa betri inapoteza majira🤣🤣
 
Na ndio kwanza picha linaanza mbona tutafurahi na show yajayo yanahuzunisha ddah
Hii kweli ni yajayo yanahuzunisha maana watu ni watajichotea Awamu hii yani miaka mi 4 hiii naamini nitaanza okota vi hela barabarani maana nina muda sana sikuwahi okota hela, Pesa ndio inarudi kwa wananchi ama kwa hakika nimeona sasa.
 
Acheni unafiki hayo magari yapo tu muda mrefu sema umeyaona leo au leo ndio akili yako imeamka
 
Acheni unafiki hayo magari yapo tu muda mrefu sema umeyaona leo au leo ndio akili yako imeamka
Na hata hiyo zamani yalikuepo ila yalikua yamefichwa fichwa huko gereji hata utendaji kazi wake haukuwa OPEN kama haya ya ssa yanavyojiachia
 
Hapana maana yake ni kwamba baada ya msiba kuna ingizo jipya! Pengine ni chenchi ya rambirambi huwezi jua[emoji848][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Za kuambiwa changanya na zako
 
kahiyo miaka yote hiyo Ndio sasa hivi Boss wa UDA kaona anahtaji ongeza Mapya?!!!!! Sawaaa hamna shida mimi ntapanda nauli sh 400 tu,kupanda lazima nipande.
Bro unaelewa nini ukiambiwa FREE MARKET ECONOMY?
 
China mzee baba. Tatizo ulizoeshwa hali ya UMASIKINI now tunatembea na beat ya MAMA yeye hajali utajiri wako. Amesema KULENI BATA. YOU ONLY LIVE ONCE
Unafikiri mimi napinga, likija napanda nasubiri wanianzishie ruti yangu ya Mbezi to K.koo niende kwa jero mimi
 
Haya mabasi/daladala za UDA yalianza onekana kwa wingi sana kipindi cha uongozi wa Awamu ya 4 ila baada ya kuingia awamu ya 5 hizi daladala zilipotea zote moja baada ya nyingine na mwisho hatukuziona tena barabarani.

Tangu msiba uishe wa Aliyekua Rais awamu ya 5 Rais.Magufuli UDA zimeanza kurudi barabarani nimeshashuhudia UDA 3 mpya ruti ya MBEZI - MBAGALA/3, MBEZI-BUGURUNI,MBEZI-TEMEKE,nk

swali langu ni la mshangao,imekuaje tena haya magari kurudi wakati huuu? yalikua wapi? boss wake ni nani? kwanini alikua hayarudishi barabarani kipindi cha uhai wa magufuli na kwanini kayarudsha sasa hivi?

"Watanzania sisi sio wajinga,Tunaona"

Nimalizie kwa kusema "Anae stream youtube sasa hivi ni kidume", Ukimuona mtu yuko Online Muheshimu,Ma group yangu sioni cha admin wala member anatuma tuma vi meme leo ni kimyaaaaaa,WAZIRI WA NCHI MWANACHAMA WA DATA amejua kututembelea huu mwaka,halafu ndio kwanza April 2..
Mbagala mbona zipo tu miaka yote, na yadi yao iko Mbagala.
 
Back
Top Bottom