wanakwambia eti mwenye UDA kapokea KIKOBA kwahyo ndo mana kaenda fata mzigo mpya,kikoba chake Kijumbe alikua MaguNa Mimi Jana nilikuwa pale posta mpya nimeziona UDA kama NNE zimefufuliwa nikashangaa "kwanini sasa?!"
Niliidhani mshangao huu ninao peke angu kumbe hili tumeliona wengi!
sasa kama ni ya serikali imekuaje aivyoingia JPM uda zikapotea,ina maana aliamua zipoteza kwa manufaa ya nani wakati ile ni mali ya uma? (kama unavyodai)kwanza mkuu uelewe UDA inamilikiwa na serikali asilimia 100 rejea report ya CAG ukaguzi maalum 2018/2019 na maana ya UDA ni usafiri dar es salaam tukija upande wa UDART Ni usafiri dar es salaam rapid transit ni kampuni tanzu ya UDA ila inamilikiwa na serikali asilimia 85 huku kampuni nyingne ikimiliki 15 zinazobaki
Swali la msingi sana hili mkuu ...Big up [emoji110]sasa kama ni ya serikali imekuaje aivyoingia JPM uda zikapotea,ina maana aliamua zipoteza kwa manufaa ya nani wakati ile ni mali ya uma? (kama unavyodai)
😂😂😂😂😂Nimalizie kwa kusema "Anaye stream youtube sasa hivi ni kidume", Ukimuona mtu yuko Online Muheshimu, Ma group yangu sioni cha admin wala member anatuma tuma vi meme leo ni kimyaaaaaa, WAZIRI WA NCHI MWANACHAMA WA DATA amejua kututembelea huu mwaka, halafu ndio kwanza April 2..
Solution sio daladala bali ilikuwa kuongeza mabasi ya BRT na wawe na ratiba zisizoyumba!! Kuboresha ilikuwa na lengo la kuwafanya watu wawahi kufika wanakoenda, na daladala hazitaweza kufanikisha hilo la kuwahisha abiria kwa sababu zingetumia barabara (za kawaida) zinazotumia magari mengine na hivyo kuathirika na msongamano!!!ingekua kuboresha usafiri, Daladala zisingekatazwa kwenda k.koo,kitendo cha kuzuia daladala wakati wanajua uwezo wa kumudu usafiri hawawezi huko ni kuua na kudhohofisha usafiri.
Tunaweza kusema "kwa wema" kwa sababu, kwa utaratibu waliojiwekea, ikifika mchana baadhi ya magari yanaegeshwa na yanaanza tena route jioni. Kwahiyo, kama ni wema, ndo huo hapo lakini sio kwamba yanakuwa mabovu! Kwa tafsiri nyingine, HAWATAKI kuendesha magari yao yakiwa level seat, bali wanataka wakati ambapo watu watakuwa wamerundikana, hata kupumua hawawezi! Sasa matokeo yake, wakati wanaamini mchana abiria sio wengi, kinachotokea ni kuwafanya abiria warundikane vituoni kusubiria yale yaliyo barabarani!Mkuu sio kwamba yanaegeshwa kwa wema
Ni ubovu
Ina maana kuna mtu ameshika remote anatuhamishia stesheni anazopenda yeyeAma kwa hakika tumerudi tulikotoka kwa speed ya 5G, mimi naomba tu Mungu asaidie Miradi iliyoanzishwa walau imaliziwe tu jamani kisha ndio waendeleee kuzila hela zao maana hii nchi ina wenyewe.
Sasa kama hukatazi, kulikuwa na sababu gani tena ya kutumia mabilioni ya shilingi kuanzisha Rapid Bus Transport?! Usisahau tatizo la Daladala sio Daladala per se, bali mfumo unaotumika! Barabara nyembamba, maelefu ya magari barabarani, matokeo yake, mtu unatumia saa 1+ kutoka Kimara hadi Kivukoni!!!ingekua kuboresha usafiri, Daladala zisingekatazwa kwenda k.koo,kitendo cha kuzuia daladala wakati wanajua uwezo wa kumudu usafiri hawawezi huko ni kuua na kudhohofisha usafiri.
Mkuu kumbe inaelekea huifahamu vizuri BRT! UDA na Mwendokasi ni kitu kile kile; hawa ni ndugu wa Baba mmoja, mama mmoja! Hivi huoni hata magari yao (ya mwendokasi) yameandikwa UDART? Yaani UDA Rapid Transport.sasa kama ni ya serikali imekuaje aivyoingia JPM uda zikapotea,ina maana aliamua zipoteza kwa manufaa ya nani wakati ile ni mali ya uma? (kama unavyodai)
sasa hivi imeongezeka imekua 14,tunamalizia mi 4 iliyobaki halafu tunapiga 10 mingine,msipohama Nchi nyie vidume
UDA ni mradi wa serikali uliobuniwa na kigogo flani (asiegusika ila magu alimgusa) hela zikawa zinaenda kwake na sio kurudi ktk maendeleo ya nchi.Mkuu kumbe inaelekea huifahamu vizuri BRT! UDA na Mwendokasi ni kitu kile kile; hawa ni ndugu wa Baba mmoja, mama mmoja! Hivi huoni hata magari yao (ya mwendokasi) yameandikwa UDART? Yaani UDA Rapid Transport.
Unanielewesha mimi wakati mimi ndie nimetangulia kukuelimisha wewe kwamba UDA na UDART ni baba mmoja, mama mmoja!! Inavyoelekea unadhani UDART ni exclusively kampuni ya serikali, kumbe umiliki wa serikali kwa UDA na UDART ni wa aina ile ile!!!UDA ni mradi wa serikali uliobuniwa na kigogo flani (asiegusika ila magu alimgusa) hela zikawa zinaenda kwake na sio kurudi ktk maendeleo ya nchi.
UDART ni mradi wa serikali ulioendeleza UDA lakini UDART hela zinarudi serikalini na zinafanya maendeleo ktk nchi
nadhani sasa umeelewa UDA na UDART zimetofautiana wapi na kwanini tunashangaa UDA kurudi kipindi hiki na si kipindi cha uhai wa JPM. (nyundo)
Biashara ya dala dala hainaga hasara kama usimamizi uko vizuri mkuuMwendokasi ina pata faida sasa kwasababu ya "marufuku" ya magari ya kawaida kwenda Kariakoo to Mbezi ila Uda Ikianzisha ruti za K.koo to Mbezi Mwendokasi wameumia.
Mkuu naomba ukipata muda uniulizie budget ya msiba ilikuwaje.Hii kweli ni yajayo yanahuzunisha maana watu ni watajichotea Awamu hii yani miaka mi 4 hiii naamini nitaanza okota vi hela barabarani maana nina muda sana sikuwahi okota hela, Pesa ndio inarudi kwa wananchi ama kwa hakika nimeona sasa.
Mwendokasi ni Mashetani kabisa wale.Na kwa kurudi kwa UDA ndio JIPU litaendelea kukwiva maana naona kabisa namna ambavyo UDA wataanzisha ruti za K.koo - Mbezi na hakuna trafik ataeuliza wala kuzikamata hizo dala dala, hatima ya MWENDOKASI siijui ni ipi kwakweli
Kwa kweli asikuumize kichwa saa hiziTusirudishane shule braza, hujawahi hata nilipia tuition