Kurudi kwa UDA (daladala) hii maana yake nini?

Kurudi kwa UDA (daladala) hii maana yake nini?

is BACK with full support from Above, sisi ni naani Tupingeee Ntapanda tuuu maana hata baiskeli sina.
If he has back halafu mishahara itaongezwa,ajira zitakuwepo,ufisadi utakuwepo ,madaraja ya watumishi yatakuwepo ,demokrasia itakuwepo potelea mbali !!! Kuliko hailivyokua
 
Hii kweli ni yajayo yanahuzunisha maana watu ni watajichotea Awamu hii yani miaka mi 4 hiii naamini nitaanza okota vi hela barabarani maana nina muda sana sikuwahi okota hela, Pesa ndio inarudi kwa wananchi ama kwa hakika nimeona sasa.
Kama mishahara itaongezeka na ajira zitatokea acha waibe tuuuuuu!!! Kuliko waibe wachaze na wapewe upendeleo wachache kutoka kanda moja
 
Mh hayati JPM aliamini kwenye STATE CONTROLED ECONOMY ndio maana hata mashirika ya ndege yaliwekewa vigingi, ruti za mabasi pia nyingi uliona hazikupewa trip za Kariakoo nk, aliamini sana kuwa serikali ikontroo kila kitu hali iliyopelekea uchumi mbovu. Hata tenda za ujenzi walipewa sana JKT ambao infact ni cheap labor tu. Ukiangila hii ERA ya mama SAMIA kama ameanza kurudisha hali ambayo inapaswa kufatwa na NCHI.
Agiza katoni ya Apple puch nipe namba ya mwenye duka nimrushie pesa yake na yakutolea !!!! Haraka tafadhali
 
Facts
Mh hayati JPM aliamini kwenye STATE CONTROLED ECONOMY ndio maana hata mashirika ya ndege yaliwekewa vigingi, ruti za mabasi pia nyingi uliona hazikupewa trip za Kariakoo nk, aliamini sana kuwa serikali ikontroo kila kitu hali iliyopelekea uchumi mbovu. Hata tenda za ujenzi walipewa sana JKT ambao infact ni cheap labor tu. Ukiangila hii ERA ya mama SAMIA kama ameanza kurudisha hali ambayo inapaswa kufatwa na NCHI.
 
Ukitaka taarifa sahihi za hivyo vyuma, fanya pupa zako udondoshe hata side mirror yake, kuna jamaa anakujaga na pikipiki kupiga picha tu, za chin chin ni zipo chini ya jeshi
ndio mana huwezi ona Traffic wanazishobokea hovyo
 
Hahahahaaaaa tumekuwa watoto wa mama sasa kupelekeshana mpera mpera basi tena.Ni kula bata mwanzo mwenga.Nakupenda sana mama.
ni mwendo wa kudeka tu, ukinipiga naenda kukusemea kwa mama.
 
Mm naomba warud tu, hawa mwendokas wanatukalisha vituoni kama watumwa afu gari linakuja moja mnagombania kama kuku wakat mengine yamepak tuu sjui wanatuonaje.
Hata mimi nimefurahi nadhani mwendokasi watanisahau,Hela yangu ila wananipangisha Foleni kama naenda kupokea Uji
 
Na tusisahau, lengo la Mwendokasi halikuwa kuua biashara ya daladala bali kuboresha usafiri Dar es salaam ili watu wawahi waendako! Lakini mara kwa mara yametokea malalamiko kwamba kuna uhaba mkubwa wa mabasi ya mwendokasi, na ujinga zaidi, unakuta mahali yamepaki wakati watu wamejazana vituoni!
ingekua kuboresha usafiri, Daladala zisingekatazwa kwenda k.koo,kitendo cha kuzuia daladala wakati wanajua uwezo wa kumudu usafiri hawawezi huko ni kuua na kudhohofisha usafiri.
 
Na kwa kurudi kwa UDA ndio JIPU litaendelea kukwiva maana naona kabisa namna ambavyo UDA wataanzisha ruti za K.koo - Mbezi na hakuna trafik ataeuliza wala kuzikamata hizo dala dala, hatima ya MWENDOKASI siijui ni ipi kwakweli
kwani mwendokasisiyo sehemu ya uda? mbona nimeona uda zinatokea mwendokasi ya gerezan?
 
Kwani magari mapya huwa yanatoka wapi? Mbona swali lako hakina mantiki? Kwa hiyo Kama hawakuweka magari mapya wakati wa JPM, wakiweka Sasa Kuna kosa lolote linakuwa limetendeka?
hivi unaelewa nini maana ya JamiiForums "HOME OF GREAT THINKER"????????????????
 
Haya mabasi/daladala za UDA yalianza onekana kwa wingi sana kipindi cha uongozi wa Awamu ya 4 ila baada ya kuingia awamu ya 5 hizi daladala zilipotea zote moja baada ya nyingine na mwisho hatukuziona tena barabarani.

Tangu msiba uishe wa Aliyekuwa Rais awamu ya 5 Rais Magufuli UDA zimeanza kurudi barabarani, nimeshashuhudia UDA 3 mpya ruti ya MBEZI - MBAGALA/3, MBEZI-BUGURUNI, MBEZI-TEMEKE nk

Swali langu ni la mshangao, imekuaje tena haya magari kurudi wakati huuu? Yalikua wapi? Boss wake ni nani? Kwanini alikuwa hayarudishi barabarani kipindi cha uhai wa Magufuli na kwanini kayarudisha sasa hivi?

"Watanzania sisi sio wajinga, Tunaona"

Nimalizie kwa kusema "Anaye stream youtube sasa hivi ni kidume", Ukimuona mtu yuko Online Muheshimu, Ma group yangu sioni cha admin wala member anatuma tuma vi meme leo ni kimyaaaaaa, WAZIRI WA NCHI MWANACHAMA WA DATA amejua kututembelea huu mwaka, halafu ndio kwanza April 2..
kwanza mkuu uelewe UDA inamilikiwa na serikali asilimia 100 rejea report ya CAG ukaguzi maalum 2018/2019 na maana ya UDA ni usafiri dar es salaam tukija upande wa UDART Ni usafiri dar es salaam rapid transit ni kampuni tanzu ya UDA ila inamilikiwa na serikali asilimia 85 huku kampuni nyingne ikimiliki 15 zinazobaki
 
nilikuwa naelewa hivi pia
 
Back
Top Bottom