Poleni na pilila za hapa na pale wana JF. Naomba kuuliza ukirudia mtihani(kutafuta kredit) na ukafaulu vizuri.Je kuna uwezekano wakupangiwa katika shule za serikali?Natarajia majbu mazuri.
wala huwezi, pesa yako ndiyo itakayokusongeza mbele , ......ila ukiwa umemaliza form 6 na ukafaulu vz, unaweza
omba mkopo wa kwenda chuo kikuu na wengi wanapewa