Kurudia au kurisiti mtihani.

Kurudia au kurisiti mtihani.

Shirly

Member
Joined
May 5, 2014
Posts
13
Reaction score
4
Poleni na pilila za hapa na pale wana JF. Naomba kuuliza ukirudia mtihani(kutafuta kredit) na ukafaulu vizuri.Je kuna uwezekano wakupangiwa katika shule za serikali?Natarajia majbu mazuri.
 
Huwezi kupangiwa shule, hapo inakubidi utafute shule binafsi
 
wala huwezi, pesa yako ndiyo itakayokusongeza mbele , ......ila ukiwa umemaliza form 6 na ukafaulu vz, unaweza
omba mkopo wa kwenda chuo kikuu na wengi wanapewa
 
Back
Top Bottom