Habari wakuu, ukirejea kichwa cha habari hapo juu, nini madhara yake?
Mwanangu ana mwaka na miezi 9, jumatatu iliyopita nilimwachisha nyonyo ila kwa sasa najuta naumia na kuna wakati nalia maana anahangaika na kuteseka mno.
Usiku na mchana analia tu hali kitu anataka kunywa maji tuu amekonda sana, Ninafikiria kurudia kumpa nyonyo tena ila naogopa madhara yake!
Asanteni.