SHAIDI
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 291
- 141
wana jf nataka kufanya application kusoma degree kwa njia ya equivalent, nina credit mbili za o leval physics na mathematics lakin nimesikia kwamba kama auna credit tatu huu mpango auwezekani nahitaji kurudia hayo masomo(chemistry na biology) ambayo nina ufahuru wa D, kwa kuwa nimesoma course za afya aitakuwa shida kwangu
nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kurudia hayo masomo hupo na wapi ni sehemu nzuri ya kurudia,
najua haya masomo yana practical vipi utaratibu ukoje na takwimu za ufahuru kwa watu waliopiita
lakini me ni mwajiliwa kwenye taasisi fulani hapa dar es salaam, sijaoa na sina majukum naona huu ndio wakat wangu
natanguliza shukrani