Mchokozi watarudia mtihani bila kuandaliwa? Mfano ambaye hajasoma somo la biology tokea ajiunge Form I hata akirudia mara kumi atafaulu? na kama wataandaliwa; idadi ya wanafunzi kwa shule ni kubwa sana kiasi kwamba hakuna nafasi "facility" ya kuwaweka na tatizo la upungufu wa walimu liko pale pale
Wana JF, nimesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari na magazeti kuwa serikali inaangalia uwezekano wa wanafunzi 60% waliofeli warudie mtihani na hata ikiwezekana walipiwe gharama za kurudia, je hii itakuwa ndiyo Muarobaini wa kufeli?
Hiyo siyo fair inabidi warudie wote wanaotaka na si kuchagua kundi moja
ukishangaa ya Mussa utayaona ya serikali ya kikwete...Na walio pata four? au wenyewe wamefaulu..
kwa hiyo wrudie,tuchakachue wafaulu, wazazi wasio na akili watupigie kura kwisha