Kurudia mtihani wa Kidato cha Nne

Zasasule

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2009
Posts
1,001
Reaction score
103
Habari zenu wanaJF,

Kuna ndugu yangu, kwa kweli ni mtu mwenye umri tena, 24years. na wala hana cheti cha form 4. alifeli kabisaaaa

sasa ameamua kusoma ili afanye mtihani aweza kupata cheti na kuendelea na elimu

1.JE ATAPATA WAPI MWALIMU WA KUMFUNDISHA HAYO MASOMO, ESPECIALLY YA BIASHARA?

2.UTARATIBU WA KUFANYA MITHANI INAKUWAJE?

3.KWA KWELI YEYE UMRI UMEKWENDA, KWA HIVYO KWA KUINGIA DARASANI KWENDA KULA DARASA KWAKE KIDOGO MTIHANI, ANATAKA ASOME THEN AENDE KUPIGA PAPER TU..

4.GHARAMA ZA WALIMU KUJA KUKUFUNDISHA NYUMBANI INAKUWA VIPI? ANAWEZA PATA WAPI MWALIMU? ASIWE MBABAISHAJI..


Haya ni baadhi ya masuali,, lakini kama kuna mtu anaweza kunijuuza vrui juu ya sula hili kundani nitashkuru zaidi...
 
Sasa hujasema yupo mkoa gani? Hivyo inakuwa ngumu kuambiwa atapata wapi mwalimu, hapo kinachotakiwa ni lazima aende kwenye center yoyote ambayo ni kituo cha kufanyia mtihani ya QT ajiandikishe, na kulipa karo yao hata kama hata soma ili waweze kumsajiri, then atatakiwa kulipia na gharama za mtihani.
 
Nimekupata mkubwa.Katika swala la umri, miaka 24 hajawa mkubwa sana wa kushindwa kuingia darasani kusoma labda kama ameamua kutorudi shule na kusomea mtaani.

Zipo tution center nzuri bazo zinawaandaa resiters vizuri na wakafahulu mitihani yao vzr.

Akisha soma vzr akawa tiyari kwa kufanya mtihani anaweza kusajiri kupitia shule yoyote ya sekondari ambayo itakuwa na kituo kwa ajiri ya private candidate.
 

yuko hapa hapa dar es salaam.. kwa hapa bongo ni ipi center nzuri?
 

huyu mtu kakimbia shule tangu form 2.. yaani hana hata cheti kimoja,, hata hiko cheti cha kufeli hana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…