Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Mar 29, 2012 #41 ni ushamba sana,wanawake walivyo wengi yana unarudia zilipendwa? maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaajabu
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Mar 29, 2012 #42 Cantalisia said: Omba mungu yasikukute ndugu yangu!maana km huna moyo wa ujasiri waweza fanya mambo ya ajabu!mbaya zaidi ukiachwa japo hata ukiacha kuna wakati roho inauma pia! Click to expand... Huku kutishana sasa mwanakwetu lol!!
Cantalisia said: Omba mungu yasikukute ndugu yangu!maana km huna moyo wa ujasiri waweza fanya mambo ya ajabu!mbaya zaidi ukiachwa japo hata ukiacha kuna wakati roho inauma pia! Click to expand... Huku kutishana sasa mwanakwetu lol!!
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Mar 29, 2012 #43 Cantalisia said: My dia utakua bado hujapenda!ukipenda mapnz hayana cha roho ngumu,cku ukipenda kwa that alafu ukaachwa ndio utaamin nisemayo! Click to expand... heheh....kuachwa raha bana! Lol
Cantalisia said: My dia utakua bado hujapenda!ukipenda mapnz hayana cha roho ngumu,cku ukipenda kwa that alafu ukaachwa ndio utaamin nisemayo! Click to expand... heheh....kuachwa raha bana! Lol
Mawaiba JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 417 Reaction score 151 Mar 29, 2012 #44 Cantalisia said: Heshima yako Bishanga,najua umuhimu wa kusamehe na hua nasamehe na tunakua friends ila c kuwa wapenz tena! Click to expand... Hakuna urafiki tupu unaotanguliwa na mapenzi. "Urafiki baada ya Mapenzi" ni mapenzi tu..!
Cantalisia said: Heshima yako Bishanga,najua umuhimu wa kusamehe na hua nasamehe na tunakua friends ila c kuwa wapenz tena! Click to expand... Hakuna urafiki tupu unaotanguliwa na mapenzi. "Urafiki baada ya Mapenzi" ni mapenzi tu..!
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,785 Mar 30, 2012 #45 Husninyo said: mi nina roho ngumu, sitoumia. Lol. Click to expand... Hii roho itengee budget ya kutosha uikarabati upya! Ni ushauri wa bure tu!
Husninyo said: mi nina roho ngumu, sitoumia. Lol. Click to expand... Hii roho itengee budget ya kutosha uikarabati upya! Ni ushauri wa bure tu!