Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omba mungu yasikukute ndugu yangu!maana km huna moyo wa ujasiri waweza fanya mambo ya ajabu!mbaya zaidi ukiachwa japo hata ukiacha kuna wakati roho inauma pia!
My dia utakua bado hujapenda!ukipenda mapnz hayana cha roho ngumu,cku ukipenda kwa that alafu ukaachwa ndio utaamin nisemayo!
Hakuna urafiki tupu unaotanguliwa na mapenzi. "Urafiki baada ya Mapenzi" ni mapenzi tu..!Heshima yako Bishanga,najua umuhimu wa kusamehe na hua nasamehe na tunakua friends ila c kuwa wapenz tena!
mi nina roho ngumu, sitoumia. Lol.