deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 932
- 506
hii ndio jf aiseeNi kweli mkuu magari mengi sana yanarudishwa kilomita nyumba mfano niliwahi iona Crown ya 2008 GRS201 wakati inakaguliwa bandarini ina km 189,000 ilivyofika mikononi mwa watu inauzwa ina km 72,000 vile vile Mark X..kibao
Akupe amelogwa?Kwaio dawa ya kuthibitisha kama gari ni genuine au la mwambie anaekuuzia gari akupatie file la gari..lilie lililolipiwa kodi bandarini i.e TZDL-18-xxxxxx hapo utaona inspection certificate ya TBS i.e TBS waliikagua hio gari ikiwa na km ngapi...