nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Nov 26, 2013 #1 Serikali iliahidi itafuatilia li turudishiwe ni lini? Wapi? Kuna mwenye taarifa please?
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,341 Nov 26, 2013 #2 Wakati mnazipeleka hizo pesa,mliomba serikali iwasaidie ama? Hii inaonyesha hamna hulka ya kijasiriamali,kubali kupoteza
Wakati mnazipeleka hizo pesa,mliomba serikali iwasaidie ama? Hii inaonyesha hamna hulka ya kijasiriamali,kubali kupoteza
M Mzungu Mweusi Member Joined Aug 11, 2013 Posts 29 Reaction score 3 Nov 26, 2013 #3 Naomba msirudishiwe hizo fedha ili iwe fundisho kwa wote mnaotaka utajiri bila kufanya Kazi.
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,403 Reaction score 12,775 Nov 26, 2013 #4 Serikali imeshindwa kurudisha hela za EPA itawezage kuvuna zenu mlizojipandia wenyewe? Laumuni tu bahati yenu huenda mvua zilichelewa ndiyo maana mbegu zikaharibika!
Serikali imeshindwa kurudisha hela za EPA itawezage kuvuna zenu mlizojipandia wenyewe? Laumuni tu bahati yenu huenda mvua zilichelewa ndiyo maana mbegu zikaharibika!
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Nov 26, 2013 #5 Mzungu Mweusi said: Naomba msirudishiwe hizo fedha ili iwe fundisho kwa wote mnaotaka utajiri bila kufanya Kazi. Click to expand... Si hivyo tu mkuu, bali iwe fundisho kwa wacheza kamali wote..
Mzungu Mweusi said: Naomba msirudishiwe hizo fedha ili iwe fundisho kwa wote mnaotaka utajiri bila kufanya Kazi. Click to expand... Si hivyo tu mkuu, bali iwe fundisho kwa wacheza kamali wote..