Kurudishiwa fedha za deci

Kurudishiwa fedha za deci

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Serikali iliahidi itafuatilia li turudishiwe ni lini? Wapi? Kuna mwenye taarifa please?
 
Wakati mnazipeleka hizo pesa,mliomba serikali iwasaidie ama?
Hii inaonyesha hamna hulka ya kijasiriamali,kubali kupoteza
 
Naomba msirudishiwe hizo fedha ili iwe fundisho kwa wote mnaotaka utajiri bila kufanya Kazi.
 
Serikali imeshindwa kurudisha hela za EPA itawezage kuvuna zenu mlizojipandia wenyewe? Laumuni tu bahati yenu huenda mvua zilichelewa ndiyo maana mbegu zikaharibika!
 
Back
Top Bottom