[quote uid=37322 name="Pawaga" post=25089551]Wewe mpuuzi lipa pesa yangu kwanza Acha utapeli.[/QUOTE]
Hahahaaaaa.....!!!!
wewe kijana unahangaika kweli kweli badala ya kufanya kazi za halali upate pesa unakaa kufanya utapeli wako huo...
Nimekwambia mm sitaki hiyo huduma yako ya wizi utaniletea matatizo mm ni mtu mzima nina familia mkuu..
Nimekwambia nilikuwa sijakuelewa kama hizo huduma unazo fanya za kuwa unganishia vifurushi vya mb na dakika kuwa unafanya wizi...
umesema utanidisconect na hicho kifurushi cha chuo ulicho niunga, nimekwambia sawa, fanya hivyo haraka... ukasema utanichafua nisipo kutumia elfu tisa yako 9,000/=)..
Sasa kwann unanilazimisha kushiriki huo uovu unao ufanya kaka..!!
haya endelea kunichafua, ila kila utakapo pita niko nyuma yako kufafanua....