Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliiba nini ukafukuzwa kazini?. Nakufaham wewe ni mwizi sana hata mimi ushanitapelinilifukuzwa kazi miaka mitano iliyo pita katika kampuni flani..
Sasa mahakama imeamuru nirudishwe kazini na kulipwa mishahara yangu yote..
Nataka kujua je mshahara wangu utakuwa ni ule ule kipindi nafukuzwa kazi au inabidi ufanyiwe marekebisho..