Uongozi wa JamiiForums umekuzuia Wewe pia Kuanzisha Uzi?
Una Roho ya Kimasikini sana ( Mbaya ) iliyojaa Wivu, Kisununu na Chuki za Kiuswahili.
Hapo tu Wewe siyo Mwanzilishi wa Mtandao huu wa JamiiForums una Husuda hivi je, ungekuwa ni Mwanzilishi si ingekuwa balaa hapa?
Kuhusu Mimi kuanzisha 'Threads' nikutaarifu tu kuwa leo hii nimepanga Kuanzisha kama Tatu hivi kubwa ya Siasa, Habari na Michezo.
Na ili uone kuwa GENTAMYCINE licha tu ya kuwa ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kiasili pia nina 'Charm' ya ajabu ambapo nikianzisha tu Uzi wowote Wadau ( Members ) wataukimbilia 'Kuukodolea' hadi 'Kuuchangia' kama ambavyo hata 'Mnafiki' Wewe umefanya japo unanichukia.
This is GENTAMYCINE ( ANTIBIOTIQUE )