GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Kwahiyo nawe unautetea Utapeli Wao?Waliotumia vyeti vyeki kusomea fani flaniflani, wakafaulu, wakaajiriwa na kulitumikia Taifa kwa miaka mingi kwa ustadi mkubwa wanapaswa kulipwa at least michango yao iliyokatwa kupelekwa kwenye mifuko.
Serikali inaweza kuamua kubaki na % iliyochangia
Kwani nawe unaumia nini nikimdharau?Sasa wewe ukimdharau unabadilisha nini?
Serikali huwa haichangii hata 100Waliotumia vyeti vyeki kusomea fani flaniflani, wakafaulu, wakaajiriwa na kulitumikia Taifa kwa miaka mingi kwa ustadi mkubwa wanapaswa kulipwa at least michango yao iliyokatwa kupelekwa kwenye mifuko.
Serikali inaweza kuamua kubaki na % iliyochangia
Siwezi kuteseka, utateseka wewe unaeanzisha threads kila baada ya dakika 2 humu.Kwani nawe unaumia nini nikimdharau?
Napenda mno Watu ( Members ) wenye Akili hivi ( kama Wewe ) hapa JamiiForumsBaada ya hapo waende jela kwa kughushi vyeti, kisha watapishwe mipunga yoote waaliyokula huko nyuma pamoja na hayo mafao yao, wamepata kwa njia haramu(danganyifu)
Point hakuna sababu ya kumdhulumu MTU jasho lake. Hili Jambo ni vyema likaisha Kwa busara. Wenye vyeti feki nao ni binadamu.Wale wa vyeti feki michango yao waliyochangia kwenye mifuko ya Hifadhi kiubinadamu walipwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una 'Hawara' yako 'Mhanga' wa hili au?Serikali huwa haichangii hata 100
Namtetea basha wako aliyeko humuhumu anayekufanya unafungua ID mpya kila dakika.Una 'Hawara' yako 'Mhanga' wa hili au?
Mtu alitumia jina/cheti cha mwingine cha standard 7/form four ili akasome na kuwa nurse au mwalimu. Huyu mtu amechapa kazi nzuri na yenye kutukuka kwa miaka 30 then suddenly tunasema hey, wewe huna cheti cha form four. Hapana, nawatetea hawa.Kwahiyo nawe unautetea Utapeli Wao?
Uongozi wa JamiiForums umekuzuia Wewe pia Kuanzisha Uzi?Siwezi kuteseka, utateseka wewe unaeanzisha threads kila baada ya dakika 2 humu.
Kuutetea Uhalifu na Wahalifu ni Ujuha.Point hakuna sababu ya kumdhulumu MTU jasho lake. Hili Jambo ni vyema likaisha Kwa busara. Wenye vyeti feki nao ni binadamu.
Lakini mimi nina afadhali kwasababu nawatetea watu walipwe haki zao. Ila mijitu SADISTS kama nyie mnaopenda kuona watu wanafanyiwa ROHO MBAYA, ZA KIKATILI na DHULMA hampendi.Uongozi wa JamiiForums umekuzuia Wewe pia Kuanzisha Uzi?
Una Roho ya Kimasikini sana ( Mbaya ) iliyojaa Wivu, Kisununu na Chuki za Kiuswahili.
Hapo tu Wewe siyo Mwanzilishi wa Mtandao huu wa JamiiForums una Husuda hivi je, ungekuwa ni Mwanzilishi si ingekuwa balaa hapa?
Kuhusu Mimi kuanzisha 'Threads' nikutaarifu tu kuwa leo hii nimepanga Kuanzisha kama Tatu hivi kubwa ya Siasa, Habari na Michezo.
Na ili uone kuwa GENTAMYCINE licha tu ya kuwa ni "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Kiasili pia nina 'Charm' ya ajabu ambapo nikianzisha tu Uzi wowote Wadau ( Members ) wataukimbilia 'Kuukodolea' hadi 'Kuuchangia' kama ambavyo hata 'Mnafiki' Wewe umefanya japo unanichukia.
This is GENTAMYCINE ( ANTIBIOTIQUE )
Naona hatimaye leo umeamua kututolea Siri yako ya muda mrefu kuwa 'Unabashiwa' kila dakika.Namtetea basha wako aliyeko humuhumu anayekufanya unafungua ID mpya kila dakika.
Vipi Basha wako nae ni Mhanga wa hili?Lakini mimi nina afadhali kwasababu nawatetea watu walipwe haki zao. Ila mijitu SADISTS kama nyie mnaopenda kuona watu wanafanyiwa ROHO MBAYA, ZA KIKATILI na DHULMA hampendi.
Sadists mlifanikiwa kuwa na mtu wenu Ikulu miaka 5, amewaumiza wengi sana ili nyinyi mfurahi. Inatosha.
Roho za kutu
Sawa sawaNajua Basha wangu nae ni Mhanga wa hili.
Nisalimie sana hapo ulipo Ofisini Kwako ( Kwenu ) jjrani ( mkabala ) kabisa na Lugalo Golf Court sawa?Sawa sawa
Ni kweli wamekosea lakini mfumo ndio ulisababisha mianya hiyo. Pia nimetaja ubinadamu.Kuutetea Uhalifu na Wahalifu ni Ujuha.
Je unamuelezeaje Surgeon aliyekuwa anaitwa Hamis Mahimbo akiwa Form IV na hakuchagukiwa kwenda Form VI kwa vile hazikutosha.Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan akilipitisha hili na kuruhusu Walipwe ndiyo utakuwa mwanzo wangu wa Kumdharau.
Yaani Crooks walipwe? Are we Serious?
Huna unalolojua. Kesho kaongoze maandamano kuelejea FCC Mo anataka kuporwa teamNisalimie sana hapo ulipo Ofisini Kwako ( Kwenu ) jjrani ( mkabala ) kabisa na Lugalo Golf Court sawa?
Mkuu Genta. Salamu kwako. Niseme tu kwamba vyeti feki nikosa la kisheria. Ila, kwa namna lilivyokuwa implemented kibaguzi nasema hapana. Tena hapana narudia. Wakati wafanyakazi wengine wanasulubiwa eti uzio ulijengwa ili makonda na wanasiasa wengine, polisi na jeshini ambako ndo kuna mavyeti feki mengi eti wasiguswe. Hapo ndipo radha ya hilo zoezi ilipo haribikiaKuna Watu nilikuwa nikiwaheshimu sana hapa JamiiForums hasa kwa Michango yenu ila taratibu sasa kwa kuja na Hoja zenu zenye Huruma za Kinafiki kwa 'Wahalifu' niseme tu kuwa nitaanza Kuwadharau na kuwaona ni 'Hopeless' wakubwa tu.