Kuruhusu Mgonjwa apigwe Sindano ya Sumu afe au andelee kuishi azidi kututia hasara ipi ni bora?

Kuruhusu Mgonjwa apigwe Sindano ya Sumu afe au andelee kuishi azidi kututia hasara ipi ni bora?

Muue tu mkuu akifa utakua na goodlife,kesho pia nalosto ikija tutakulisha sumu na wewe,daaa aisee kweli ondoka tukuseme! thamani ya mtu haiondoki kwa kuumwa
 
Wewe mwenyewe inaonekana Ni Mgonjwaa na Umekata tamaa na maishaa ndo maana unataka kukatisha uhai wa Ndugu zakoo..!! HAKUNA AJUAE KESHOO.. kuna yule mtoto wa Uingereza ni shabiki wa Sunderland ana Cancer ya Ubongo Madoctor Bingwaa walisema angekufa mwezi uliopita ilaa Hadi leoo Anapumuaa.. Unaona mwenzio boraa afee hujui Wew mzima unaweza kufaa saa yoyote Kifo tunatembea nacho.. USIKATISHE UHAI WA NDUGU YAKO KWA KUJALI MALI NA FEDHA ULIZO NAZOO MAANA VYOTE HIVII VINAPITAA..!! Kama huwezi kumhudumia Muache afee mwenyewe...
 
Nadhan hyo inategemea na Mgonjwa mwenyewe kwa kutambua hali yake na kukataa matibabu ili afe mapema na asiendelee kumalizia familia rasilimali.Ila km familia, daktari, au serikali haiwezi kukuamuria hatma yako hvo ni mgonjwa mwenyewe aamue kukataa matibabu.
 
Yani kwenye hili nchi kama thailand ,philipino,India na zingine kwanza familia ata haiusishwi yan wakishaona familia ya mgonjwa tuuh ni fukara wanakuja wanalia lia mgonjwa ana ata dalili ya kupona fasta tuuh wanamkausha kiroo safi
 
Chukulia mgonjwa ndiye aliyetafuta hizo mali zote zinazowazunguka. Mf. baba.
Je mtamuua ili kusave nguvu ya familia kiuchumi au mtauza vyooote (maana ni vyake) ili kumtibu?

Itafuatana na Engine inayoendesha logic zako.
 
Haiwezekani.
Unapotibu mgonjwa kwa kutumia whether complementary medicines or the other one is a slowly healing event kiasi kwamba unaweza Ku terminate maisha ya MTU wakati kumbe alikuwa anaelekea kupona. Mfano. HIV patient in stage iv let's say with cryptococal meningitis na mwenye hali mbaya ya kukaribia kufa anaweza kurudia katika hali yake kwa muda mrefu kidogo baada ya matitabu kutokana na actions za dawa zinavo function. So unapomuua kwa upande mwingine unaweza kutoa uhai kwa MTU ambaye alikuwa ni wa kupona.
Endelea kumtibia mpaka hapo Mungu atakapomchukua.

Mshabiki wa Sunderland anayeumwa kansa ya ubongo kwa muda mrefu ni lazima afe kutokana na kwamba hatibiki ila hawawezi kummilizia.
 
Unakoelekea sitakushangaa ukisema na wazee wadungwe sindano za sumu kwa kuwa siku zao zinahesabika. Ila sikubaliani na wazo lako la kukata tamaa ili kusave mali, hata kama matibabu yataongeza mwaka, mwezi, wiki au hata masaa nafikiri it's worthy taking a chance. Not mentioning incidents ambapo wagonjwa wenye hali mbaya kupona na wale walionekana wako si vibaya sana kupoteza uhai.
 
Kama na wewe ungelijua afya yako siku za mbeleni nafikiri usingekuwa na moyo huo
 
Assisted suicide challenges all the values of hard work and perseverance that some countries has stood for since the founding of the countries. No matter what it is called, intentional death in the face of great illness and pain gives up on hope. While the suffering that comes with death seems unbearable, humans were created to live and die, death is a natural part of life. When the natural process of life becomes disrupted, not in an attempt to heal, but to kill, humanity walks a fine line between the power of creator and the free will of men. Suffering is not fun to watch, to experience, to instill upon someone, but when we help kill, there are an unprecedented amount of guilt and uncertainty that the assistant takes on themself. Death should be natural. Humanity should not have the power to end it’s own life; that is not something for us to decide, but for our creator.
Best comment on this issue
 
Hoja yako imeegemea upande moja kwa tegezi pekee, vipi wagonjwa kama hao ambao wanategemewa na familia zao, yaan wao ndo kila kitu, je nao tuwauwe kwa kupoteza raslimali zipi ili hali wanatumia pesa zao kujitibia?
 
Kwa taarifa yako tu nchi za wenzetu wenye akili wameshaliona hili na limeanza kutumika. Halafu jifunze kutofautisha doctrines za Kidini na Uchumi kwani ukivichanganya tu hivi viwili utakuwa umepotoka sana. Hivi ule msemo usemao ya Kaisari mwachie Kaisari na ya Mungu mwachie Mungu ulikuwa na maana gani Mkuu? Kwako Wewe ipi bora Mgonjwa wenu aendelee kuishi huku akiwatesa Kiuchumi na hadi kuwatia Umasikini au apigwe tu Sindano atangulie Mbinguni ili kile kidogo kilichopo kiwafaidishe waliobaki ambao ni wazima na wanahitaji msaada zaidi?

Uzi huu leo ndiyo utanisaidia kuwajua Great Thinkers wa kweli.
roho ya kimaskini hiyo n a ya kikatil ela na uhai ipi bora?vitabu vinasema usiue we unaleta za wenzetu jishaue tu na hiyo pumzi..
 
Uko vizuri wewe! Kwenye nchi za wenzetu hili limeanza kuwa la kawaida pamoja na kuwa bado kuna wanaolipinga.

In Tz ,its a against the law.
Kwanza sio ndugu wanapaswa waone mgonjwa haitaji kuishi.Bali ni mgonjwa.
Nafikiri anaweza akaomba mahakama ikampa hiyo haki ya kufa kuliko kuteseka.
 
Back
Top Bottom