Salaam, Shalom!!
Tumeambiwa kuwa, tembo na simba hawali madini, lakini hatukuambiwa wakati madini yakichimbwa ndani ya Serengeti, hao Simba watakuwa wapi!!?
Kutoa lesseni ya uchimbaji ndani ya Serengeti ya miaka 100 Kwa mwekezaji, ni sawa na kumuuzia mbuga zetu Kwa maana uchimbaji lazima utaondoa wanyama wetu wa asili mbugani Ili kuruhusu uchimbaji.
Haya matusi tunayotukanwa na viongozi wetu, yafike mwisho sasa, tuhakikishe kiongozi huyu hagombei 2025.
Nawaita walinzi wa Nchi wa kiroho na kimwili kuchukua nafasi zenu.
NB: Kuruhusu uchimbaji madini mbugani ni sawa na kufuta RANGI ya kijani katika bendera ya Taifa.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.
Pia soma