Kuruhusu Ubinafsishaji na uchimbaji ndani ya mbuga zetu ni sawa na kuziuza?



Wamewatoa wananchi kwenye huo mjadala kwa kuwaletea Mjadala wa mabadiliko ya Mawaziri .

Ili kufanya kama vungamaboya kuwapoteza lengo la kujadili maswala nyeti yenye kubeba hatima za vizazi na zizazi vya waTZ
 
Wamewatoa wananchi kwenye huo mjadala kwa kuwaletea Mjadala wa mabadiliko ya Mawaziri .

Ili kufanya kama binga Maboya ?!
Kiongozi huyu ni kama anajaribu kuchochea chuki Ili Muungano uvunjike.

Tusikubali hili. Tumrudishe kwenye line.
 
Samia amesema sasa atalazimisha madini kuchimbwa kwenye mbuga zetu Serengeti ikiwemo akidai Simba na tembo hawali madini[emoji848]
Rais kajaa mipasho .hotuba zake utazani ni mswahili ana chamba
 
Kuchimba madini mbugani kutaleta njaa kwa raia wengi waliojiajiri kwenye utalii na watamlaani sana Bimkubwa now and forever, namsihi hili aliache kwakweli ni jambo baya sana linalogusa pia urithi wa nchi.

Kama ni pesa zinatafutwa basi afadhali waongeze tozo tu kwenye miamala tushazoea kulipa kwa vile tumekataa kuhamia Burundi. Ni jambo baya sana kuharibu urithi wa Tanganyika.

Hivi uchimbaji ukianza wanyama watahamishiwa wapi? Burundi?Na wao wana haki ya kuishi ni viumbe wa Allah SW
 
Angedhibitiwa kusafiri nje, haya yote anayatoa huko.
 
Reactions: Cyb
Utetezi wa kupuuzi kabisa huu kutoka namba moja, inaonesha namna uelewa wake ulivyo finyu....hapo kaona katoa boonge la point ambalo marais watangulizi woote hawakuweza kuling'amua isipokuwa yeye tuu🤣🤣🤣
Kila jambo na wakati wake,ni wakati wa kuchimbwa umefika.
Kuna gas mfano ya Helium ya nini mbugani si iende sokoni tupate pesa
 
Wakati tunapiga vita kuhamisha wamasai ninyi mkawa mnasema mama anaweza. Sasa muone kwann gharama kubwa ilitumika kuhamisha wamasai kuwapeleka Tanga.

Lengo lilikuwa ni kupisha uchimbaji wa madini a.k.a uwekezaji Haramu.
 
Huo mkataba uneingiwa lini? Mbona mambo yanaenda mbio kiasi hiki? Ni kawaida? Mbona kama kunataka kuibua maswali mengi?
Alivyoenda Dubai, alivyokuwa anawahamisha wamasai haukushtuka tu? [emoji848]
 
Unamaanisha hata Majeshi yetu waliopewa kulinda Raslimali hizi pia ni waoga?

Mbona hawaogopi majangili!!

Hawaogopi majangili sababu sio watu wao, Kuna majangili wanaopewa leseni kabisa na ulinzi kuua wanyama kwa dau. Mwananchi yoyote asiye na connection, pesa hawamuogopi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…