SoC04 Kuruhusu utalaam kwenye kila sekta

SoC04 Kuruhusu utalaam kwenye kila sekta

Tanzania Tuitakayo competition threads
Joined
May 4, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Serikali pamoja na taasisi zake zote inapaswa kuwa mstari wa mbele kwenye matumizi ya wataalam inayozalisha na ijikite kwenye kuwazalisha na kuwatumia.

Sekta nyingi za kiserikali zimekuqa na shughuli mbovu na zisizozalisha kwa sababu ya kutoruhusu wataaluma kwenye sekta zao maeneo mengi yamekosa wataalamu kupelekea underperformance na kuwa na shughuli mbovu kabisa.
 
Upvote 1
Back
Top Bottom