Kuruka hatua (stage) kwenye makuzi

Ni kweli hao wamechakaa au unajiselfisha tu.

Kuchakaa wapo waliochakaa na wengine wapo bado sana kuchakaa, kama tu ulivyo uchakavu kwa uliokuwa nao mkilala wenzenu wakitoka.

Baadhi yao wamechakaa kama ilivyo baadhi yenu
 
Hakuna ukweli kwenye hii thread, kwa sababu hakuna mambo yaliyoorodheshwa kwenye jamii kwamba ni lazima yafanywe na kila mwanajamii, sana sana tu uzi huu unaweza kuhamasisha vijana wafanye mambo yasiyofaa kwa mtazamo wa kwamba mambo wayafanyayo ni mpito kuelekea utu uzima, hapo wanqovuta bangi, shisha, sigara, walevi wa gongo, viroba shisha nk watafurahia madhara ya hivyo vitu kama sehemu ya ujana wao, kumbe ndivyo vinavyowamaliza.

Sio kweli kwamba ukiwa kijana ni lazima uende disco, kununua makahaba, kuvuta bangi, shika na kwenda clubs na kwamba usipofanya hayo utakuja kuyafanya uzeeni. Kama kuna kanuni ya ulimwengu inayosema hivyo iweke hapa tuisome. Nijuavyo mimi ni kwamba, matendo ya mtu yanasababishwa na mazingira yanayomzunguka mhusika kwa wakati huo.
 
Hapana naona hapa unataka kupotosha kwa kutaja matendo mabaya wakati mimi nimetaja stages katika makuzi ambazo si lazima ziwe mbaya ona hata picha nilizoweka
 
Hapana naona hapa unataka kupotosha kwa kutaja matendo mabaya wakati mimi nimetaja stages katika makuzi ambazo si lazima ziwe mbaya ona hata picha nilizoweka
Kwenye picha hapo ni mzazi akimfurahisha mwanae tu, ingekuwa yuko mwenyewe ningepata sababu ya kukubaliana na wewe kwamba kweli mzee huyo aliruka stage. Kumpenda mtoto ni kumfanya afurahi, mzee huyo anafurahi na mtoto kwa kukumbuka maisha yake ya utotoni, sio kwamba hakupata fursa ya kuendesha baiskeli na kwamba hapo kwenye picha anajifunza kuendesha.
 
Sawa mzee
 
Hahahahahhaaa nime jiscreen tangu nilivokuwa primary hadi sasa nimeona mahali nimeruka na imejirudia sasa hahahahahahaaa

Ni burudani kwangu maana naburudisha na siwakeri watu.

Kasie.
mi pia...
 
True story. Kwa wanaume ukiruka stage ya 'kucheza' na mabinti, utairudia tu badae.

Hata humu, kuna watu humu wakitaja umri, ukalinganisha na wanayofanya ni balaa tu. Unakuta Ol' timer wa haja, ila tunagombania nae likes kwa mambo ya ajabu tu.
 
'I was robbed my childhood, I was never allowed to a child';Michael Jackson.
Inasemekana tangu akiwa na umri wa miaka mitano, tayari alikuwa star.So hakucheza wala kuishi kama watoto wa umri wake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
'I was robbed my childhood, I was never allowed to a child';Michael Jackson.
Inasemekana tangu akiwa na umri wa miaka mitano, tayari alikuwa star.So hakucheza wala kuishi kama watoto wa umri wake.
Mfano dhahiri kabisa ndio ukubwani alifanya ya kitoto mengi lakini kwa style yake na aliwapenda sana watoto
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji779] [emoji779]
 
Ni kweli makuzi yana stages. Ila wengi wanafanya vitu vya hovyo na kuwaambia wasiofanya wanaruka stages na watarudia.

Mimi enzi za teenage wenzangu walikuwa wanapiga mitungi balaa mimi sinywi wakasema nitakunywa ukubwani lakini hadi leo sinywi.

Kwenda club ni moja ya mambo ya stage ya ujanani, unaweza usifanye coz si hobby yako ukafanya vingine hio haina maana kuwa umeruka stage eti utafanya baadae.

Kuna watu walikuwa wahudhuriaji club ujanani na hadi leo watu wazima wanaenda hizo sehemu(nenda east 24) je hao waliruka stage au hobby?

Mfano wa kuruka stage ni kama Michael Jackson, utoto wake wote kautumia kufanya professional music carrier.
 
Hobby hubaki kuwa hobby na hili halina umri kwahiyo hapo tutofautishe na kuruka stage.. Kuruka stage ni jambo ambalo hutokea kwa muda fulani na kisha kupotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…