Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hao wamechakaa au unajiselfisha tu.Mwezangu mm hostel nilikua naonekana mshamba nahiv nilikua nakaa nje
Bas watu wote wanaondoka nabak mm tu au wawil hostel nzima.
Yaan utasikia watu hufany haya mambo sa hz ukiwa kwako utarudia tu;
Na hao wanaume utakua nao ukiolewa utachepuka.
Bas mm nawaangalia natafuta kitanda nilale
Sasa cjaona tofaut kat yangu na yao zaid tu kuwa wamechakaaa nw kumbe ni kujichosha tu
Nikajisemea bora niwe mshamba kuliko kuruka ruka sa hz
Hilo ni tatizo la akili.
Hapana naona hapa unataka kupotosha kwa kutaja matendo mabaya wakati mimi nimetaja stages katika makuzi ambazo si lazima ziwe mbaya ona hata picha nilizowekaHakuna ukweli kwenye hii thread, kwa sababu hakuna mambo yaliyoorodheshwa kwenye jamii kwamba ni lazima yafanywe na kila mwanajamii, sana sana tu uzi huu unaweza kuhamasisha vijana wafanye mambo yasiyofaa kwa mtazamo wa kwamba mambo wayafanyayo ni mpito kuelekea utu uzima, hapo wanqovuta bangi, shisha, sigara, walevi wa gongo, viroba shisha nk watafurahia madhara ya hivyo vitu kama sehemu ya ujana wao, kumbe ndivyo vinavyowamaliza.
Sio kweli kwamba ukiwa kijana ni lazima uende disco, kununua makahaba, kuvuta bangi, shika na kwenda clubs na kwamba usipofanya hayo utakuja kuyafanya uzeeni. Kama kuna kanuni ya ulimwengu inayosema hivyo iweke hapa tuisome. Nijuavyo mimi ni kwamba, matendo ya mtu yanasababishwa na mazingira yanayomzunguka mhusika kwa wakati huo.
Kwenye picha hapo ni mzazi akimfurahisha mwanae tu, ingekuwa yuko mwenyewe ningepata sababu ya kukubaliana na wewe kwamba kweli mzee huyo aliruka stage. Kumpenda mtoto ni kumfanya afurahi, mzee huyo anafurahi na mtoto kwa kukumbuka maisha yake ya utotoni, sio kwamba hakupata fursa ya kuendesha baiskeli na kwamba hapo kwenye picha anajifunza kuendesha.Hapana naona hapa unataka kupotosha kwa kutaja matendo mabaya wakati mimi nimetaja stages katika makuzi ambazo si lazima ziwe mbaya ona hata picha nilizoweka
Sawa mzeeKwenye picha hapo ni mzazi akimfurahisha mwanae tu, ingekuwa yuko mwenyewe ningepata sababu ya kukubaliana na wewe kwamba kweli mzee huyo aliruka stage. Kumpenda mtoto ni kumfanya afurahi, mzee huyo anafurahi na mtoto kwa kukumbuka maisha yake ya utotoni, sio kwamba hakupata fursa ya kuendesha baiskeli na kwamba hapo kwenye picha anajifunza kuendesha.
mi pia...Hahahahahhaaa nime jiscreen tangu nilivokuwa primary hadi sasa nimeona mahali nimeruka na imejirudia sasa hahahahahahaaa
Ni burudani kwangu maana naburudisha na siwakeri watu.
Kasie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]True story. Kwa wanaume ukiruka stage ya 'kucheza' na mabinti, utairudia tu badae.
Hata humu, kuna watu humu wakitaja umri, ukalinganisha na wanayofanya ni balaa tu. Unakuta Ol' timer wa haja, ila tunagombania nae likes kwa mambo ya ajabu tu.
Mfano dhahiri kabisa ndio ukubwani alifanya ya kitoto mengi lakini kwa style yake na aliwapenda sana watoto'I was robbed my childhood, I was never allowed to a child';Michael Jackson.
Inasemekana tangu akiwa na umri wa miaka mitano, tayari alikuwa star.So hakucheza wala kuishi kama watoto wa umri wake.
Hahahahahhaaa nime jiscreen tangu nilivokuwa primary hadi sasa nimeona mahali nimeruka na imejirudia sasa hahahahahahaaa
Ni burudani kwangu maana naburudisha na siwakeri watu.
Kasie.
Hobby hubaki kuwa hobby na hili halina umri kwahiyo hapo tutofautishe na kuruka stage.. Kuruka stage ni jambo ambalo hutokea kwa muda fulani na kisha kupoteaNi kweli makuzi yana stages. Ila wengi wanafanya vitu vya hovyo na kuwaambia wasiofanya wanaruka stages na watarudia.
Mimi enzi za teenage wenzangu walikuwa wanapiga mitungi balaa mimi sinywi wakasema nitakunywa ukubwani lakini hadi leo sinywi.
Kwenda club ni moja ya mambo ya stage ya ujanani, unaweza usifanye coz si hobby yako ukafanya vingine hio haina maana kuwa umeruka stage eti utafanya baadae.
Kuna watu walikuwa wahudhuriaji club ujanani na hadi leo watu wazima wanaenda hizo sehemu(nenda east 24) je hao waliruka stage au hobby?
Mfano wa kuruka stage ni kama Michael Jackson, utoto wake wote kautumia kufanya professional music carrier.