RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Wengi wanachanganya hobby na kuruka stage. Ndio maana kijana akisema siendi club wenzie wanamuona anaruka stage kumbe hayo mambo si hobby yake.Hobby hubaki kuwa hobby na hili halina umri kwahiyo hapo tutofautishe na kuruka stage.. Kuruka stage ni jambo ambalo hutokea kwa muda fulani na kisha kupotea