Kuruka hatua (stage) kwenye makuzi

Kuruka hatua (stage) kwenye makuzi

Hakuna ukweli kwenye hii thread, kwa sababu hakuna mambo yaliyoorodheshwa kwenye jamii kwamba ni lazima yafanywe na kila mwanajamii, sana sana tu uzi huu unaweza kuhamasisha vijana wafanye mambo yasiyofaa kwa mtazamo wa kwamba mambo wayafanyayo ni mpito kuelekea utu uzima, hapo wanqovuta bangi, shisha, sigara, walevi wa gongo, viroba shisha nk watafurahia madhara ya hivyo vitu kama sehemu ya ujana wao, kumbe ndivyo vinavyowamaliza.

Sio kweli kwamba ukiwa kijana ni lazima uende disco, kununua makahaba, kuvuta bangi, shika na kwenda clubs na kwamba usipofanya hayo utakuja kuyafanya uzeeni. Kama kuna kanuni ya ulimwengu inayosema hivyo iweke hapa tuisome. Nijuavyo mimi ni kwamba, matendo ya mtu yanasababishwa na mazingira yanayomzunguka mhusika kwa wakati huo.
Sure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
JamiiForums184437808.jpeg
 
 
Back
Top Bottom