Wakuu natumaini hamjambo. Naomba mwenye kujua hili suala la watu wanaoruka kwa ungo ni la kweli au ni hadithi za kufikirika tu? Kuna mtu alishawahi kushudia hili na kuchukua ushahidi wa video hapa kwetu Tanzania. Ni jambo linanitatiza ninaposikia hizi hadithi.
How do they defy gravity with just a simple thing kama ungo au ufagio? Na kama jambo hili ni la kweli why then hatutuumii ujuzi huu labda hata kwenda anga za juu badala yake mataifa makubwa yanaingia gharama kubwa kutengeneza spacecrafts? Kwa yeyote mwenye kujua hili suala nitashukuru kwa mchango wake.