- Thread starter
- #21
Asante.Hakuna video kutoka Tanzania au mtu yeyote wa kwetu aliyejitokeza waziwazi kuonyesha show?Kupaa kwa ungo Ni kweli swala lipo!
Nimeona video ambayo jamaa alikua anatoa show,
Alifanyiwa interview na tv Rwanda.
Na akapaa kidogo kuonesha uwezo!
Uchawi upo, uchawi ni nguvu kama nguvu za miungu mingine!
Hata bible ninayotumia inataja uwepo wa uchawi