Huwezi kuwaona kwa macho yako ya kawaida wakiwa kwenye anga zao.Sijawah amini hii kitu... maana kila wanaosadikiwa kuanguka hakuna anaethibitisha km walikuja na ungo wakadindoka... ila unakuta tu wako chini na vifaa vyao....
Mkuu video plizKupaa kwa ungo Ni kweli swala lipo!
Nimeona video ambayo jamaa alikua anatoa show,
Alifanyiwa interview na tv Rwanda.
Na akapaa kidogo kuonesha uwezo!
Uchawi upo, uchawi ni nguvu kama nguvu za miungu mingine!
Hata bible ninayotumia inataja uwepo wa uchawi
Kuna vitu inabidi uamini tu sio kila kitu lazima uone kwa macho hata maskio wakati mwengine yaaminishe kile unachosikia kutoka kwa watu wengine.Sijawah amini hii kitu... maana kila wanaosadikiwa kuanguka hakuna anaethibitisha km walikuja na ungo wakadindoka... ila unakuta tu wako chini na vifaa vyao....
Huyo hakuanguka alikuwa anawanga mchana ili nyumba yao isiuzwe na benkiKuna mwaka mtu alianguka barabarani na ungo karibu na uwanja wa ndege. Itakuwa hukuona vyombo vya habari. Vilikuwa na picha tele.
DuhSwaziland wako kibao na huruka Hadi serikali imeweka sheria ya mtu kuruka na ungo kuwa asiruke zaidi ya mita kadhaa toka aridhini wachawi Swaziland wanasimamiwa na mamlaka ya anga ya Swaziland
Hayo mambo yapo kweli na anga hasa wakati wa usiku linakuwa na trafic kubwa sana ya watu wanaosafiri. Ila hata mchana pia watu husafiri kwa ungo. Ukitaka nawe kufanya unaweza ila kuna gharama zake na sio nzuri hata kidogo.Wakuu natumaini hamjambo. Naomba mwenye kujua hili suala la watu wanaoruka kwa ungo ni la kweli au ni hadithi za kufikirika tu? Kuna mtu alishawahi kushudia hili na kuchukua ushahidi wa video hapa kwetu Tanzania. Ni jambo linanitatiza ninaposikia hizi hadithi.
How do they defy gravity with just a simple thing kama ungo au ufagio? Na kama jambo hili ni la kweli why then hatutuumii ujuzi huu labda hata kwenda anga za juu badala yake mataifa makubwa yanaingia gharama kubwa kutengeneza spacecrafts? Kwa yeyote mwenye kujua hili suala nitashukuru kwa mchango wake.
Swaziland wako kibao na huruka Hadi serikali imeweka sheria ya mtu kuruka na ungo kuwa asiruke zaidi ya mita kadhaa toka aridhini wachawi Swaziland wanasimamiwa na mamlaka ya anga ya Swaziland