swaziland inatawaliwa kichawi .mfalme mswati kila mwaka hukaa ndani na wachawi miezi mitatu nyumbani kwa mama yake ambaye ndi kiongozi wa waganga na wachawi wa swazilandHili nimewahi kulisikia. Labda niwasiliane na cilivil aviation authority ya Swaziland sijui kama wanaweza kunipa ushahidi usio na mashaka. Na kama ni kweli serikali yao inayatumiaje maarifa haya?
Swali lako ni sawa na kuuliza ivi shetani yupo au hayupo? Childish question.Wakuu natumaini hamjambo. Naomba mwenye kujua hili suala la watu wanaoruka kwa ungo ni la kweli au ni hadithi za kufikirika tu? Kuna mtu alishawahi kushudia hili na kuchukua ushahidi wa video hapa kwetu Tanzania. Ni jambo linanitatiza ninaposikia hizi hadithi.
How do they defy gravity with just a simple thing kama ungo au ufagio? Na kama jambo hili ni la kweli why then hatutuumii ujuzi huu labda hata kwenda anga za juu badala yake mataifa makubwa yanaingia gharama kubwa kutengeneza spacecrafts? Kwa yeyote mwenye kujua hili suala nitashukuru kwa mchango wake.
Du! Wanafanya mambo waziwazi na wanajulikana hata na mamlaka ya mji?Makao makuu ya wachawi pwani Giningi City Misukule na mambo ya uchawi yako huko Fanya uende mkuu ukweli na utata wa nafsi yakutaka kuamini unayoyaskia utayaona huko kwa macho.
Nimekusoma mkuu. Hapa kwetu nasikia kuna sheria inayokataza mambo ya uchawi. NitaifuatiliaSwaziland bans witches from flying above 150metres on broomsticks
Swaziland has launched a crackdown on high-flying witches after banning them from hovering above 150metres banning them from hovering above 150metres. It has been a long time since witches were burnt at the stake in Europe but the accusation remains a serious one in the landlocked African country. Anyone caught flying their broomstick above the height limit faces arrest and a hefty R500,000 fine, the country’s civil aviation authorities said this week. ‘A witch on a broomstick should not fly above the [150-metre] limit,’ corporate affairs director Sabelo Dlamini told The Star.
The new aviation law was highlighted after a private investigator was caught flying a helicopter equipped with a video camera to gather surveillance information. Witchcraft is taken seriously in Swaziland where many people believe in the power of black magic. Last year a leading Swazi MP called for a hike in tax paid by witch doctors to help ease the cash-strapped country’s financial woes
source
Swaziland bans witches from 150m flying
Nambiwa Kuna sehemu ukiingia kutoka ni changamoto.Mkuu una ujuzi huo au ulikodi mtu akakurusha? Kama unao itabidi nikutafute. Teknolojia hii si ya mchezo.
Ninachojiuliza ni kwa nini hawa wanaoitwa wachawi wasipewe nafasi ya kufanya mabo yao kwa uwazi wakapewa majukumu mazito yanayotutatiza sis wengine. Maana hata Yesu aliitwa mchawi alipokuwa anatoa watu mapepo machafu. Mtu anatumia ungo au ufagio kuruka! What is the science behind this? Si kwamba tunadharau vitu simply because we can not explain them??? Bado kichwa kinaniuma kwa kweli. Kuna wakati taasisi fulani huko nchi za nje walitoa dau la mamilioni ya pesa kwa atakayeweza kuthibitisha under laboratory conditions kwamba mabo kama haya yapo ila haikuwezekana. Labda wangekuja swaziland au huko Pwani Diningi😕swaziland inatawaliwa kichawi .mfalme mswati kila mwaka hukaa ndani na wachawi miezi mitatu nyumbani kwa mama yake ambaye ndi kiongozi wa waganga na wachawi wa swaziland
swaziland inatawaliwa na branch mbili ya waganga na wachawi iko chini ya mama yake mswati ya pili iko chini ya waziri mkuu
mfalme mswati ni mtawala wa branch zote mbili
Wacha tu nikuache maana tukianza kulumbana kwa ulichoandika nitakuwa naharibu malengo ya huu uzi na tutahamia kwaenye mada tofauti kabisa.Swali lako ni sawa na kuuliza ivi shetani yupo au hayupo? Childish question.
Nadhani moja ya masharti Ni kufanya shughuli hizo wakiwa kwenye stealth mode, ndio maana haitakaa itokee wafanye hadharaniNinachojiuliza ni kwa nini hawa wanaoitwa wachawi wasipewe nafasi ya kufanya mabo yao kwa uwazi wakapewa majukumu mazito yanayotutatiza sis wengine. Maana hata Yesu aliitwa mchawi alipokuwa anatoa watu mapepo machafu. Mtu anatumia ungo au ufagio kuruka! What is the science behind this? Si kwamba tunadharau vitu simply because we can not explain them??? Bado kichwa kinaniuma kwa kweli. Kuna wakati taasisi fulani huko nchi za nje walitoa dau la mamilioni ya pesa kwa atakayeweza kuthibitisha under laboratory conditions kwamba mabo kama haya yapo ila haikuwezekana. Labda wangekuja swaziland au huko Pwani Diningi😕
Na kuwa kwenye stealth mode ni kosa kisheria?Nadhani moja ya masharti Ni kufanya shughuli hizo wakiwa kwenye stealth mode, ndio maana haitakaa itokee wafanye hadharani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ni kweli?Swaziland wako kibao na huruka Hadi serikali imeweka sheria ya mtu kuruka na ungo kuwa asiruke zaidi ya mita kadhaa toka aridhini wachawi Swaziland wanasimamiwa na mamlaka ya anga ya Swaziland
Hamna kitu kama hicho mkuu ni stori za kutunga za wapumbavu hamna uchawi wala anaeweza kupaa ni wajinga sana wanaleta sanaaKwa nini basi watu hawa wasitumiwe kufanya mambo ya maana? Go to Mars and bring us some mineral samples for example! If they can defy gravity by whatever means where is the power of our mainstream science? Mambo haya huwa yananipa mawzo mengi sana. Tunapoteza miaka na miaka kwenye vyou vikuu kutafiti gravity, sijui dark matter sijui particle collider na hatuna majibu ya kutosha lakini mtu mmoja a.k.a mchawi sijui yuko kijiji gani pale anweza kushinda kanuni za Fizikia tunazozijua. Something must be wrong with us kama kweli watu hawa wapo na wanafanya mambo haya.
Naonaamefanya hadharani kabisa. Mtu kama huyu anapaswa kuchukuliwa atueleze the secret behind ili ile fizikia niliyoisoma nikaiongezee kingine. Something must be missing.
Unataka ushahidi gani tena?
View attachment 1496071
Aisee walikuwa katika utani ila imeleta shidaaaaaEbu angalia huyo dogo
View attachment 1495374
Kwa hiyo mkuu hawa Waswaziland na mamalaka yao ya usalama wa anga hawajui wanachokifanya kuwazuia hao wanaoitwa wachawi kuruka juu zaidi ya mita 150? Ni fabricated news au??Hamna kitu kama hicho mkuu ni stori za kutunga za wapumbavu hamna uchawi wala anaeweza kupaa ni wajinga sana wanaleta sanaa
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Wakuu natumaini hamjambo. Naomba mwenye kujua hili suala la watu wanaoruka kwa ungo ni la kweli au ni hadithi za kufikirika tu? Kuna mtu alishawahi kushudia hili na kuchukua ushahidi wa video hapa kwetu Tanzania. Ni jambo linanitatiza ninaposikia hizi hadithi.
How do they defy gravity with just a simple thing kama ungo au ufagio? Na kama jambo hili ni la kweli why then hatutuumii ujuzi huu labda hata kwenda anga za juu badala yake mataifa makubwa yanaingia gharama kubwa kutengeneza spacecrafts? Kwa yeyote mwenye kujua hili suala nitashukuru kwa mchango wake.
Sio sheria za nchi, Sheria zao wachawiNa kuwa kwenye stealth mode ni kosa kisheria?
Nimeweka video page ya tatu
Kailete hapa page ya kwanza
Video nimeiona mkuu. NashukuruNimeweka video page ya tatu
Kailete hapa page ya kwanza
OK. mimi I dont mind in whatever mode they operate as long as hawavunji sheria. Kwa nini tusiwatumie hata kama tunawalipa tuwatume waende hata kwenye sayari nyingine. Mabo mengi tu nayasikia vitu kama astral travel lakini mambo yote haya yamebatizwa jina la uchawi.Sio sheria za nchi, Sheria zao wachawi