low thinking capacity JF-Expert Member Joined Jun 4, 2018 Posts 1,323 Reaction score 1,496 Jul 3, 2020 #61 raslimali said: Mkuu una ujuzi huo au ulikodi mtu akakurusha? Kama unao itabidi nikutafute. Teknolojia hii si ya mchezo. Click to expand... Nilipewa usafiri tu wakati natoka kwenye shughuli za kidunia
raslimali said: Mkuu una ujuzi huo au ulikodi mtu akakurusha? Kama unao itabidi nikutafute. Teknolojia hii si ya mchezo. Click to expand... Nilipewa usafiri tu wakati natoka kwenye shughuli za kidunia
R raslimali JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,958 Reaction score 1,744 Jul 3, 2020 Thread starter #62 low thinking capacity said: Nilipewa usafiri tu wakati natoka kwenye shughuli za kidunia Click to expand... Mkuu unaweza kutupa insight kidogo kuhusu speed ya huo ungo na ulipambana vipi na msuguano wa hewa huko angani?
low thinking capacity said: Nilipewa usafiri tu wakati natoka kwenye shughuli za kidunia Click to expand... Mkuu unaweza kutupa insight kidogo kuhusu speed ya huo ungo na ulipambana vipi na msuguano wa hewa huko angani?