Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Wakati nasoma Saiyansi nilikutana na topic moja inahusiana na Projectile motion ambayo inafundisha mahesabu ya kurusha kitu ili kiangukie mahali ulipokusudia
Nitopic ngumu ambayo huwezi kufundisha mtu ambaye hajasoma masomo hayo akaelewa kwa urahisi
Naamini tunafanya hivyo ila kama bado; tunaweza kuwasomesha vijana wetu wachache wenye background nzuri ya masomo hayo; ni rahisi kuwa na jeshi dogo kabisa ila imara kama SIMBA na kuepusha kurusha mabomu zaidi ya 20 bila kuhit target ambapo moja tu lingetosha.
Hatuna Vita hivyo tuna nafasi ya kuboresha kwani tuna vijana wengi waliosoma combination zenye Physics hasa PCM na kufaulu wapo wamejaa mtaani
Ni mawazo tu kwani sina uzoefu na Jeshi hata hivyo mtu akifuatilia Clip za vita mbalimbali duniani ataona kabisa huo upande bado kuna baadhi ya wataalam wa hiyo fani wangestahili kupikwa zaidi au pengine wamelazimisha kuingia mahala pasipokuwa kwao.