Kurusha Ndege (Boarding School)...

Kurusha Ndege (Boarding School)...

Pugu Boys hatukuwa na ukuta halafu kuna Maximum freedom....hatuna attendance register darasani yaani kama hujitambui umekwenda na Maji...kwanza getini ndo kuna kituo cha daladala, ticha anashuka j3 kuingia darasani naye mwanafunzi ndo anapanda daladala kwenda mchikichini...PUGU imenifunza mengi..
 
Ihungo boys tulikuwa tunadrop kashai na junction kama kawaida, japo walimu walikuwa wanabana kweli kweli hasa mwl Hanta na Byamungu.
 
Mimi yangu wala haikuwa jina..Yan any time ipo free kwa any
mission..Thank Jesus,I'M BORN AGAIN coz without Him ningekuwa Kaka
Jambazi..
hahah, kweli mkuu. Tuombee nasisi tuhangaike wee ila mwisho wa siku nasi tuokolewe nabwana
 
Back
Top Bottom