Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Uwiiiiii mm Mwili umesisimkaaaa balaaaa
Umeshaanza kuandika kwa muundo wa GENTAMYCINE
Weeeee acha urongoHayo ndio mazoezi ya kupanda ndege, kama hiyo huwezi basi hata ndege hutapanda wewe
Uwiiii balaaaaaYaan ile kabla ya kutua mtu ushakufwaaa
Mbona hamfi leba! Bichwa la mtoto linapita kwa papuchi..!Weeeee acha urongo
Mama Sabrina, rembesha Basi font kwa zile rangi zako zenye flavor za strawberry, changes, vanilla etc
Mama Sabrina inaonekana we Ni kibonge. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Note:
Vibonge vingi huwa waoga
Weka picha tujue unachozungumzaWenzangu kale ka mchezo nakaona mtu anafungwa kwenye kiti na kamba zinakuwa ndefu halaf anarushwa toka juu kwenda chini na chini ni mbalii hivi wana moyo gani wa kuvumilia ,maana nahisi naweza kuzimia huko huko au kufa kabisa kwa mshituko jamanii
kamchezo haka kanahitaji moyo mpana na usiwe na presha unaweza rushwa ukafa kile kule ukarudi maiti hahahaah
Je we unaweza kurushwa vile na ukarudi mzima,wengine wanafungwa na watoto mgongoni wanaruka nao jamani watu wana roho ngumu mim hata yale madude ya kukaa halaf yanazunguka siwezi kabisaa michezo ya kunifanya nihisi kizunguzungu siitakiii
Mrs G
Na mvua za Jana ile font ilikuwa inanyegeza. Sasa sisi wanaume tukinyegeka inatokea Vita kali sana kati ya boxa Na kiumbe kizito, maumivu yake si mchezoUlilalamika sana halaf hapo ni kazi ya mods labda wanisaidie