Kurushwa kutoka juu

Kurushwa kutoka juu

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Wenzangu kale ka mchezo nakaona mtu anafungwa kwenye kiti na kamba zinakuwa ndefu halaf anarushwa toka juu kwenda chini na chini ni mbalii hivi wana moyo gani wa kuvumilia ,maana nahisi naweza kuzimia huko huko au kufa kabisa kwa mshituko jamanii
kamchezo haka kanahitaji moyo mpana na usiwe na presha unaweza rushwa ukafa kile kule ukarudi maiti hahahaah

Je we unaweza kurushwa vile na ukarudi mzima,wengine wanafungwa na watoto mgongoni wanaruka nao jamani watu wana roho ngumu mim hata yale madude ya kukaa halaf yanazunguka siwezi kabisaa michezo ya kunifanya nihisi kizunguzungu siitakiii

Mrs G
 
Weka picha tujue unachozungumza
 
Back
Top Bottom