Kurushwa kutoka juu

Hizi roll coaster kuna baadhi zina speed kubwa sana halafu kuna sehemu mnakuwa miguu chini kichwa juu inaweza ikawa kama kwa dakika chache tu lakini mie niligoma mara nyingi tu kupanda huangalia kwa chini na kila nikiangalia nasema HAPANA!!! Sina sababu ya kurushwa roho kiasi kile.

lol ya kizungu kumbe!!

Asante nimeoshapo macho
 
Hahahahaha lol! Umenikumbusha ile thread ya yule jamaa aliyekuwa akiiba picchu za mkewe na beki tatu na kuziweka kwenye briefcase kwenye foleni huzitoa na kuanza kunusa LoL! Duniani kuna mambo!

Ukifwa ila hutakufaa nitachukua chup zako zote nizitundike ndani kwangu
 
Kabisa upo sahihii...

Kuna design tofauti tofauti...

Kuna design mnakaa kama treni hivi ila haijazibwa...

Kuna design mnakaa ila miguu inaninginia...

Aisee its fun to ride on a roll coaster... ile adrenaline rush unayo i experience its amazing...

Cc: mahondaw
 
teh Hapo kama muoga kama BAK si lazima uwe hujabanwa mkojo ama???
 
teh Hapo kama muoga kama BAK si lazima uwe hujabanwa mkojo ama???

Ni vizuri usiwe umebanwa na mkojo au haja kubwa...

Ushawahi kushushwa na gari kwa ghafla kwenye kilima (Kilima Nyege) kuna hali fulani unaisikia...

Au ndege pale inapojiandaa kutua, vile inavyoshushwa kuna hali fulani hivi unaisikia kama unamkojo unaweza toka...

Sasa kwenye gari au ndege hiyo hali hudumu kwa dakika chache sana... ila kwenye hiyo michezo hiyo hali hudumu kwa muda mrefu mpaka pale itakaposimama...
 
Tehteh utanipeleka nikatoepo ushamba asee [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji57] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Basi mi nivoona taito tu nikajua Ile mwanaume kakaa au kasimama dizain kama kakupakata anakupeleka anakupeleka juu kisha kukurufisha chini huku anakukandamizia kwenye kiungo chake fulani unakua unasikia uttttttttttttaaammmmm [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Tehteh utanipeleka nikatoepo ushamba asee [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji57] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ukienda huko tukabidhi kabisa smart na tumpe mrithi
 
Hahahahaha lol! Umenikumbusha ile thread ya yule jamaa aliyekuwa akiiba picchu za mkewe na beki tatu na kuziweka kwenye briefcase kwenye foleni huzitoa na kuanza kunusa LoL! Duniani kuna mambo!

Hahahahahaha fantasy za ajabu kweli
 
Reactions: BAK

Hahaha.. kaone kwanza kalivyo kazuri...

Jana hujaja... leo njoo nikunong'oneze kitu...

Dawa yako nishaiipua kutoka jikoni... njoo uipulize mwenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…