Kurushwa kutoka juu

Kurushwa kutoka juu

Wenzangu kale ka mchezo nakaona mtu anafungwa kwenye kiti na kamba zinakuwa ndefu halaf anarushwa toka juu kwenda chini na chini ni mbalii hivi wana moyo gani wa kuvumilia ,maana nahisi naweza kuzimia huko huko au kufa kabisa kwa mshituko jamanii
kamchezo haka kanahitaji moyo mpana na usiwe na presha unaweza rushwa ukafa kile kule ukarudi maiti hahahaah

Je we unaweza kurushwa vile na ukarudi mzima,wengine wanafungwa na watoto mgongoni wanaruka nao jamani watu wana roho ngumu mim hata yale madude ya kukaa halaf yanazunguka siwezi kabisaa michezo ya kunifanya nihisi kizunguzungu siitakiii

Mrs G

'Kurushwa' maana yake hasa ni ipi? Kwa mfano ndege, chombo cha usafiri, huruka na kutua. Je, kwa neno hili kwenye thread hii ndege yaweza kuruka kutoka juu na kumaanisha kutua?
 
Je, hiyo inafanana na sky diving? skydiving - YouTube
 
Back
Top Bottom