BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Hizi roll coaster kuna baadhi zina speed kubwa sana halafu kuna sehemu mnakuwa miguu chini kichwa juu inaweza ikawa kama kwa dakika chache tu lakini mie niligoma mara nyingi tu kupanda huangalia kwa chini na kila nikiangalia nasema HAPANA!!! Sina sababu ya kurushwa roho kiasi kile.
Hapo kazungumzia michezo miwili...
Huo wa kuwekwa kwenye kiti alafu unaachiwa toka juu mfano wa kubembea... Sky screamer...
Huo wa kukaa na kuzungushwa kama upo kwenye treni.. Roll Coaster...
Nishajaribu yote hiyo... kama una roho ndogo ni kweli huwezi thubutu...
Unapatwa na raha ya ajabu na uwoga wa ajabu hapo hapo yani ni malue lue tu unasikia...